Hatari: Mwisho wa Dunia October 2017

Hatari: Mwisho wa Dunia October 2017

Tayari imekwisha thibitishwa kwamba Dunia Itapigwa na jiwe kubwa toka angani
''Asteroid" siku ya Tarehe 12 October 2017.
Pia jiwe hilo (asteroid) limepewa jina la ''2012 TC 4 Asteroid''.

Jopo la wana sayansi Duniani wameshirikiana kuangalia ni namna gani wataepusha balaa hili.
Nanukuu moja ya mazungumzo.It's inevitable.

Ndugu zangu kaeni Tayari.
Acha kutisha watu bana! Hilo jiwe/dubwana litapita umbali wa kilomita zipatazo 95,000 (maili 59,000) na hapatatokea madhara yoyote duniani. Mama Mdogo, hebu njoo kwenye huu mjadala!
 
Last edited by a moderator:
Nzalendo, usiogope, mbona maandiko yako wazi tu kuwa "iweni tayari wakati wote". Kwa hiyo usiogope.
 
acha kutxha wa2 we hiyo asteroid n kwamb ktk mzunguko wake itapita karbu na dunia lakn c kana kwamba itakuja kugonga dunia hiyo c kwel ucwafany wa2 wakoxe aman wa kuixh we !
 
Acha kutisha watu bana! Hilo jiwe/dubwana litapita umbali wa kilomita zipatazo 95,000 (maili 59,000) na hapatatokea madhara yoyote duniani. Mama Mdogo, hebu njoo kwenye huu mjadala!

Asante Shieka, Wataalam wanatueleza kuwa kuna mawe mengi tu yako huko anga za juu yanazunguka zunguka na hayako katika uelekeo wa kuipiga dunia. Mfano mnamo tarehe 12 Aprili 2015 kulikuwa na mawe 1572 ya namna hiyo na kila siku yangunduliwa mengine. Hilo jiwe asteroid 2012 TC4 liligunduliwa mara ya kwanza na Pan-STARRS observatory in Hawaii tarehe 4 Oktoba 2012. Tarehe 12 Oktoba 2012 jiwe hili lilipita karibu na dunia kwa umbali wa maili 59,000 (kilomita 95,000 kilometers).

Jiwe hili linarudi tena kwenye uelekeo wa dunia na linatarajiwa kufika na kuja welekeo wa dunia yetu na linatafika tarehe 12 Oktoba 2017. Hadi sasa halijulikani kama litaipiga dunia au litapitiliza kama mwaka 2012. Wataalam wanatueleza kuwa: "It has a 0.00055% cumulative chance that it will hit," na kuwa "There is one in a million chances that it could hit us".

Makoto Yoshikawa of the Japanese Aerospace Exploration Agency (JAXA), member of NEOs Division at the International Astronomical Union (IAU) is convinced that the asteroid poses no danger to Earth. "The distance is very small. But this distance does not mean the collision," he said.Maandiko matakatifu kwa sisi wakristo yanatueleza kuwa: "But concerning that day and hour no one knows, not even the angels of heaven, nor the Son, but the Father only"- Mathew 24:36.

Kwa hiyo bandugu, if you trust science, just relax and enjoy life!!
 
Hatakama haitakua kwel haina msaada kwangu kwakua sijui sik nitakayo iacha dunia hii.hivyo basi sina sababu ya kupatahof
 
Asteroids hata Mbeya Tz ilianguka- siku hizi mijusi wanakaa juu ya asteroid hiyo na ni utalii kwa wasojua-
 
Mwsho wa dunia anajua Mungu pekee

Hilo jiwe lina nguvu kiasi gan.hadi liangamize dunia nxima😕
 
Haita muhusu yeye.
wenzako wanasema ni mwaka huu wa 2015 October 7
9k=


[h=3]Tying 10-07-2015 to Israel with Secular Historical Dates ...[/h]
 
Mungu alishasema hataiangamiza dunia hii tena.
 
acha kutxha wa2 we hiyo asteroid n kwamb ktk mzunguko wake itapita karbu na dunia lakn c kana kwamba itakuja kugonga dunia hiyo c kwel ucwafanye wa2 wakoxe aman wa kuixh we !

Umejibu vizuri,
Ila elimu bado haijakukomboa, ufacebook unakuangusha!
 
Back
Top Bottom