rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,032
- 18,540
natamani hhilo jiwe liangulie Magogoni
Why magogoni???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
natamani hhilo jiwe liangulie Magogoni
Acha kutisha watu bana! Hilo jiwe/dubwana litapita umbali wa kilomita zipatazo 95,000 (maili 59,000) na hapatatokea madhara yoyote duniani. Mama Mdogo, hebu njoo kwenye huu mjadala!Tayari imekwisha thibitishwa kwamba Dunia Itapigwa na jiwe kubwa toka angani
''Asteroid" siku ya Tarehe 12 October 2017.
Pia jiwe hilo (asteroid) limepewa jina la ''2012 TC 4 Asteroid''.
Jopo la wana sayansi Duniani wameshirikiana kuangalia ni namna gani wataepusha balaa hili.
Nanukuu moja ya mazungumzo.It's inevitable.
Ndugu zangu kaeni Tayari.
Sababu yeye ndio kaiumba hii dunia basi jua hatafanya hivyo. Kwani ni yeye alieumba kila uonacho
Ili iwaje? mmh nina baby wangu hapo Navy hebu chagua uelekeo mwingine likaangukie!
BBC ndo afisa habari wa mungu?
mwisho wa dunia siku utapokufa wewe.
Acha kutisha watu bana! Hilo jiwe/dubwana litapita umbali wa kilomita zipatazo 95,000 (maili 59,000) na hapatatokea madhara yoyote duniani. Mama Mdogo, hebu njoo kwenye huu mjadala!
wenzako wanasema ni mwaka huu wa 2015 October 7Haita muhusu yeye.
acha kutxha wa2 we hiyo asteroid n kwamb ktk mzunguko wake itapita karbu na dunia lakn c kana kwamba itakuja kugonga dunia hiyo c kwel ucwafanye wa2 wakoxe aman wa kuixh we !