Hatari, nimeongea na Ex-Wangu, nimejisikia vizuri sana

We subiri aje na uzi mwingine wa kwamba kamla kimasihara🤣
 
Na hapo ni ego tu ndio inayomsumbua! Ile taarifa kwamba bi dada kaolewa na ana familia Kuna namna inamfanya ajihisi amezidiwa kete! Anataka kuprove urijali wake! Ataharibu familia ya bi dada, ataharibu familia yake, ataharibu future ya huyo mtoto!
Karoho kanamuuma kuchapiwa mzaz mwenzake
 
Ndio imesha kua hivyo singo mom is a no go zone
 
Ngoja niende huko long tym sijaenda kunani?
 
Wazazi kama wazazi
Kutaneni myamalize .Maisha ni mafupi fanya kile kinakupa furaha
 
Basi tukapongezana pale na kuagana.

Nimejisikia vizuri mno, nimeona hii ni platform yakushare ninavyojisikia

Natamani sana kumwona tena!

Muhusika anaweza kuona pia, natamani ajue

Sijui nafanyaje hapa wadau...
Vijana mliojaaliwa kuifahamu Jamiiforums na mkawa na access ya kuingia humu kusoma kila kinachoandikwa pamoja na mijadala mipana sometimes inayoendelea humu kuhusu onyo au suala la kuoa single mama,kwenye quote hiyo hapo juu................

Je!bado kuna anaweza kusimama hadharani akamtongoza singo mama kwa ahadi kwamba atamuoa na mahari akamlipia?hata wewe uliyejitia kiburi kwenda kubeba mke wa mtu kwa kigezo cha ”baba mtoto niliachana nae na sijui hata alipo” baada ya kusoma hapo kichwani mwako limekujia swali gani?

Mimi sijui wewe wajua.
 
prof hebu toa ushaur nikiungo gani cha mwili kita adhirika endapo tamaa ya mwili itaendesha ubongo😅
Tofauti na wengi wanavyodhani, kiuhalisia ubongo ukiathirika kinachofuata ni moyo, Ubongo utaudai moyo kupiga damu zaidi ambapo hapo utakuwa unautanua

Wengi hawa hukutwa na vifo vya ghafla kwa kuwa wanakuwa wanawawaza wapenzi wao hadi mioyo inatanuka sana,

Achaneni na Stamina, mnaharibu mioyo
 
Even kwa single father; is a no go zone
Yes ni hivyo ila sidhani kama mna huo uwezo wa kutukataa vile mpo cheapest.

As for now ni ngumu mno kwa mwanaume kutafuta mbwa wa kumfuga inaweza kumchukua muda na pesa nyingi lkn mwanamke wa kumuoa ni rahisi mno hata kama unaishi jalalani atakuja naye muanze nae maisha mkiwa hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…