Hatari, nimeongea na Ex-Wangu, nimejisikia vizuri sana

Hatari, nimeongea na Ex-Wangu, nimejisikia vizuri sana

Wewe ni mshenzi, mpumbavu na mbinafsi......
Huna hata haya, ulishindwa kuongea nae kipindi mtoto mdogo ndo uje urudishe mawasiliano sahizi mtoto ashakua mkubwa na hamuhitaji hata kuwa na mawasiliano????

Acha ubinafsi na roho mbaya, ishi maisha yako. Kua na haya na pia kua na huruma na mwanaume mwenzio, angekua ni mkeo huyo usikie karudisha mawasiliano na mzazi mwenzie ungejisikiaje??????? Shenzi kabisa
Mkuu unanionea tu!
Mtoto tumekuwa nae sisi throughout.

Nimemlea binti yangu mwenyewe, Mama yangu/mke wangu wa sasa wangekuwa na uwezo wakumficha mtoto, wala asingekaa ajue Mama yake ni nani. Alimwacha akiwa mdogo sanaa...

Ni huruma ya Mama yangu tu kuwaunganisha.
 
Double standard.........

Kwa hiyo ukioa singo mom, umeoa mke wa mtu; na ukiolewa na singo father; si ina maana umeolewa na mume wa mtu pia au singo father ni mume wako peke yako?
Majority mnampiga mawe huyo dada wa watu kwamba hakustahili kuolewa; je huyu mwanaume alistahili kumuoa mkewe aliyemuoa? Dada wa watu ameolewa zake huko; miaka yote hakuhangaika kumtafuta mzazi mwenzie; leo baby daddy ndiyo amemtafuta; surprisingly matusi yanaelekea kwa dada wa watu.

Wangapi humu mnamuonea huruma mke wa huyu baba; maana mumewe ndiyo ana kiranga cha kumtafuta mzazi mwenzie. Huyu baba akija akapasha kiporo na mzazi mwenzie; ni sawa kwa mke wa huyu baba ; ila sio sawa kwa mume wa baby momma? Wazazi wenza wakipasha viporo; matusi ni kwa mwanamke kwamba hafai kuolewa; je baby daddy anapasha kiporo na baby momma wake; yeye anadeserve kuoa? He huyu baby daddy si hasara kwa mkewe?. Je wanawake wakitaka kuolewa na single fathers hawatakiwi kuhakikisha wanaona makaburi ya baby mommas wao kwanza?
Lakini sijui kwanini watu wamenikasirikia hivyo!!
 
Msile viporo

1000099751.jpg
 
Na ukiolewa na singo father sio sawa na kukodisha bwana wa mtu? Na yeye si ataendelea kulana na mzazi mwenzie; au baby mommas wanapashaga viporo na nani? Au baby daddy akipasha kiporo sio shida wala dhambi kwa sababu yeye ni mwanaume?
Ndo muolewe na masingo father wenzenu sio vijana wasio na watoto
 
Sijaelewa, kwa hiyo ndg mleta uzi, kilichokuzingua ni sauti yake kwenye simu, alivyoongea kwa adabu, umekumbuka mauno yake, nikushauri huyo demu usimtafute maana indicator zinanionesha anakuzidi hela miaka 12 hajawahi hata kumwambia bint yake msalimie baba yako, siku mkutane aje na prado akuachie laki 5 afu huyo anasepa 😅😅
 
Na ukiolewa na singo father sio sawa na kukodisha bwana wa mtu? Na yeye si ataendelea kulana na mzazi mwenzie; au baby mommas wanapashaga viporo na nani? Au baby daddy akipasha kiporo sio shida wala dhambi kwa sababu yeye ni mwanaume?
Double standard.........

Kwa hiyo ukioa singo mom, umeoa mke wa mtu; na ukiolewa na singo father; si ina maana umeolewa na mume wa mtu pia au singo father ni mume wako peke yako?
Majority mnampiga mawe huyo dada wa watu kwamba hakustahili kuolewa; je huyu mwanaume alistahili kumuoa mkewe aliyemuoa? Dada wa watu ameolewa zake huko; miaka yote hakuhangaika kumtafuta mzazi mwenzie; leo baby daddy ndiyo amemtafuta; surprisingly matusi yanaelekea kwa dada wa watu.

Wangapi humu mnamuonea huruma mke wa huyu baba; maana mumewe ndiyo ana kiranga cha kumtafuta mzazi mwenzie. Huyu baba akija akapasha kiporo na mzazi mwenzie; ni sawa kwa mke wa huyu baba ; ila sio sawa kwa mume wa baby momma? Wazazi wenza wakipasha viporo; matusi ni kwa mwanamke kwamba hafai kuolewa; je baby daddy anapasha kiporo na baby momma wake; yeye anadeserve kuoa? He huyu baby daddy si hasara kwa mkewe?. Je wanawake wakitaka kuolewa na single fathers hawatakiwi kuhakikisha wanaona makaburi ya baby mommas wao kwanza?
Posts zako huwa zina maneno ya hekima na busara kweli.
 
Afu wamekuonea tu. Teh Uzi utafungwa kila siku ule; mambo elfu kumi

Em tusije kuchambwa tunaharibu uzi wa watu hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona buku 10 kidogo uduguu anguu. Wee nani wa kunichambaa JF hii? Tena sio m1 waje kwa vikundi.

Yaan wamejuajee kunikata ngebee, kiranga chotee fyaaa.
Woiiiih
 
Wakuu, haya maisha yanafunzo.

Niliwahi kuwa na mahusiano na binti mmoja tukapata mtoto mmoja, maisha yakatuchanganya, tukaachana, Kila mtu akaendelea na Maisha yake!

Mtoto aliniachia mawasiliano kumhusu yalibakia kati yake na Mama yangu na alivyofika darasa la 6 nikampeleka Boarding.

Nikaoa, sikujua habari zake tena.

Leo nikakutana na ka diary mahali, nikafungua kujua kinahusu nini, ni cha binti yangu! na nilipofungua macho yangu yalikutana moja kwa moja na namba ya Mama yake.

Sijaonana naye almost 12years now!
Nikapata msukumo kutoka ndani yangu kujaribu kumpigia, as ilikuwa mchana nikajua atakuwa katika mazingira ya kazi.

Nilivyopiga ile namba haikupokelewa, na baada ya dakika kama 10 ikanipigia.
Nilimsalimia tu akanitambua! Alizungumza na mimi kwa heshima sana na kwa sauti ya upole.

Nikatamani kujua status yake, ameshaolewa with two kids.
Yeye anajua kuhusu mimi via my daughter wanawasiliana.
Basi tukapongezana pale na kuagana.

Nimejisikia vizuri mno, nimeona hii ni platform yakushare ninavyojisikia

Natamani sana kumwona tena!

Muhusika anaweza kuona pia, natamani ajue

Sijui nafanyaje hapa wadau...
Tulia na mkeo kijana
 
You wish......
How na huku naweza hata kuwaagiza wajomba waniletee mke leo na kesho asubuhi wanae wanagonga getini wameniletea mke [emoji23][emoji23]na shangazi kaja lake..... nyie ndio cheapest commodity any man can have.....yaani mwanaume anaweza ashindwe kula chips kuku lakini sio mwanamke wa kumnyandua
 
Ooh no wonder. Bye Lance
 
Back
Top Bottom