Hatari, nimeongea na Ex-Wangu, nimejisikia vizuri sana

Unazidi kuwafanya wanawake wenye watoto nje ya ndoa kuwa katika hali ngumu ya kutoaminika...
Muache dada wa watu kasha move on ana maisha yake na ameolewa..huoni unataka kumvurugia?
Msaada wako mkubwa kwake ni kutowasilia na nae kabisa...
 
Wanaume ni watu wabaya sana kipenzi,basi tu
Hapo inategemeana na akili ya mwanamke,msiwe mnatutegemea kilakitu sisi, haiwezekani hadi ambacho MWANAMKE angefikiria kua ni kibaya,alaumiwe mwanaume as if mwanamke Hana akili.
Jamaa akimtaka,si akatae?
Yaani atakwe akubali kupasha kiporo halafu yatokee kama ana ndoa yake,ipate misukosuko,tulaumiwe wanaume?
Hiyo siyo sawa.
 
Sawa mkuu
 
My dear usiombe umpende mtu halafu mtengane, kisha mkutane tena baada ya miaka mingi, hata kama ulimfumania hundred percent hutakumbuka hilo zaidi ya yele mema mlioshikishana, hii ipo sana kwa sisi wanaume.
Babu usiisemee mioyo ya watu.
Wote hawapo kama wewe.
Hawafikiri kama wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…