Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Ndiyo shida ya waarabu weusi. Hapa ungeweka maandiko kwenye Quran yanayosema kwann huyo mtu auwe ila umekuja kushambulia Biblia Takatifu.Yesu alipindua meza na viti hekaluni,wafikiri alipindua mikono mitupu.Matthew 21:12-22
Achana na habari ya sheria zao. Nataka MTAZAMO/MSIMAMO wako wewe kama wewe.Sheria zao zinavyosema
Very Good."Bwana ni mtu wa vita"
Kutoka 15:3
Hapa ungekuwa unaweka aya za Quran ningeona uislam ni dini ya haki ila nimekuja kugundua ni kikundi cha wahuni tu. Mtafute nyoka mkanyage halafu ulete rejesho.Hujui kama wapo wanaoksnyaga nge,na hawaumii.
Dhambi ya kumkashifu Allah (S.W) na mtume wake (S.A.W) kwa muislamu yeyote ni dhambi mbaya na ni ngumu kuitenda kwa mtu aliye na akili timamu.We hapo huna dhambi hadi uhukumu mwingine
Kama ni mbaya kwanini mtume asimhukumu yeye mpaka mumuhukum wanadamu ambao na nyie sio wakamilifuDhambi ya kumkashifu Allah (S.W) na mtume wake (S.A.W) kwa muislamu yeyote ni dhambi mbaya na ni ngumu kuitenda kwa mtu aliye na akili timamu.
Mohammed was illiterate person,We are Muslims, hatuna mchezo na Mwenyezi Mungu na Mitume yake.
Swadakta!We are Muslims, hatuna mchezo na Mwenyezi Mungu na Mitume yake.
Swadakta!Huyo salama yake awe ni mwehu tu.
Serikali wakimwachia mitaani hatumwachi.
Huwa hawajui wanachokisema....most of them are propaganda followers!This is why people say Islam spread by the sword
Amezitoa wapi huyo Allah!?KWA HIYO HUYO ALLAH WENU HANA NGUVU YA KUMUADHIBU MWENYEWE?
Dini ya haki inahamashana kuuana.
Huyu ndo kiongozi wa waislam jamii forums anaongea haya
Kwa hiyo Yesu anasema maneno yasiyojulikana?Unajua maandiko ila hujui neno
Wewe unayechoma vitabu ndio tapeli,Utachomaje vitabu mamilioni,na vinaendelea kuchapishwa,kama sio ni ujinga ni nini.Ukichoma kumi,wakati huo huo kuna mamilioni vimechapishwa,bado kuna mamilioni viko kwenye mzunguko.Huwezi kukuta muislamu na ujinga wa kuchoma vitabu vya dini nyingine.Ndiyo shida ya waarabu weusi. Hapa ungeweka maandiko kwenye Quran yanayosema kwann huyo mtu auwe ila umekuja kushambulia Biblia Takatifu.
Inaonesha ni jinsi gani unaijua Biblia kuliko Quran na matokeo yake watu wanaona uislam ni utapeli tu. Wanaamua kuichoma moto kwasababu haina maana yoyote
Umeishiwa hoja,hiyo ni fake news.Bibi yako ndo BBC
Soma andiko vizuri,Bwana ni MTU wa vita.Neno Mtu ndio binadamu.Hamjui maandiko.Very Good.
Verse inasema BWANA ni mtu wa vita... Yeye ndio wa vita, sio sisi wanadamu.
so yeye atapigana mwenyewe kwa sababu anajiweza.
Sio kama Alah anayewategemea ninyi mumpiganie kwa sababu nyie kina Kikwajuni ndio wa vita.