Hati hati kunyongwa kisa kamkufuru mtume

Ukiona mpaka wanachoma ujue dini imejaa utapeli. Uoe binti wa miaka 12 halafu wakuache salama? Bila kuwa na vitisho Quran zote zingechomwa moto uarabuni.
Mama Wa Yesu akiwa na miaka 13 ,aliolewa na Yoseph,mzee wa miaka 90,kuwa na akili watu wa mashariki ya kati wanakula nyama na maziwa ,wana afya usiwe mjinga wa kuwafananisha na waafrika wanaokula ugali na chumvi.
Sasa hapo wataka kuniambia Mama wa Yesu alijibaka kwa mzee wa miaka 90.Ambapo hakuna muislamu anayemsema vibaya Mama wa Yesu kwa kuolewa na jizee la miaka 90.
 
Huko kusema Mungu hayupo,ndio kuweko kwake.Kisichokuwepo hakisemwi kuwa hakipo.
 
Quran ni copy na paste ya Biblia. Kama unabisha
Msome Yesu na Issa ndiyo utajua hawa watu ni tofauti ila japo watu wa Issa wanalazimisha lakini ukija kwenye maandiko utajua walichokiandika hawajui
Ndio Yesu na Isa ni tofauti.Yesu aliomba aokolewe na kikombe cha kifo kwa Mungu wake,hskujibiwa,akauliwa.
Lakini Issa yupo hai ,mbinguni,hakuwahi kuuuliwa na maadui zake.
1 .
Issa hakuwahi kufa
2.Yesu aliuwawa
Ni watu wawili tofauti.
 
Sijui walifundishwa na nani.

Halafu hii inahusiana vipi na nlichokuuliza!?
Ndio ujuwe elimu inakuja kupitia maarifa.Uki ambiwa Mtume Muhammad hakusoma,lakini ujuwe anayo elimu ya kuzaliwa.
Na ndio hivyo hivyo wanasayansi wa kwanza Aristotle na Galileo Galilei hawakusoma,lakini walikuwa na elimu ya kuzaliwa.
 
Sasa Galilei alikuwa na maarifa makubwa na ambayo yanafunction hadi leo kwenye uhalisia.

Galilei Galileo aliweza kufumbua fumbo la jua linakoenda usiku, fumbo ambalo Muhammad huyo (illiterate person) hakuweza kufumbua.
Yaani lilimshinda kabisa.

Mohammed alikuwa anajua dunia ni flat, na jua linaenda kusujudu, halafu linazama kwenye Matope, mwezi aliupasua kipande kimoja kikaanguka nyuma ya mlima

Bisha.
 
Ndio ujuwe elimu inakuja kupitia maarifa.Uki ambiwa Mtume Muhammad hakusoma,lakini ujuwe anayo elimu ya kuzaliwa.
Na ndio hivyo hivyo wanasayansi wa kwanza Aristotle na Galileo Galilei hawakusoma,lakini walikuwa na elimu ya kuzaliwa.
Sio kweli
 
Acha roho mbaya
Aliianza Mungu kwenye biblia, lini imefutwa hii:

23 Musa akanena na wana wa Israeli, nao wakamtoa huyo aliyeapiza nje ya marago, wakamwua kwa kumpiga kwa mawe. Wana wa Israeli wakafanya kama Bwana alivyomwagiza Musa.
 
Kwahiyo ndo dini yenu ya Haq inavyo sema hivyo...

Tena mungu wenu hali jojo hadi atetewe! Hahahahahaha!
Aah bana, tunafata sheria ya Biblia:

23 Musa akanena na wana wa Israeli, nao wakamtoa huyo aliyeapiza nje ya marago, wakamwua kwa kumpiga kwa mawe. Wana wa Israeli wakafanya kama Bwana alivyomwagiza Musa.
 
Wapumbavu sana nyie watu
Tunajifunza kutoka kwa Yesu:

34 Msidhani ya kuwa nimekuja kuleta amani duniani; la! Sikuja kuleta amani, bali upanga.
35 Kwa maana nalikuja kumfitini mtu na babaye, na binti na mamaye, na mkwe na mkwe mtu;
36 na adui za mtu ni wale wa nyumbani mwake.
 
FICHA UPUMBAVU WAKO KAMA HUJUI SEMA TUKUSAIDIE.

Tena ipokeeni chapeo ya wokovu na upanga wa Roho ambao ni neno la Mungu.

—WAEFESO 6:17
 
Koran 5;51. Enyi mlio amini! (Waislamu) Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki.

MAFUNDISHO YA KISH3TANI HAYA HAPA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…