Hati hati kunyongwa kisa kamkufuru mtume

Dini ni utumwa wa ajabu sana. Watu wanauana kwa kumpigania Mungu asiyejulikana Wala kuongea. Kazi kweli
Ni afadhari uamini kuwa Mungu yupo halafu ukienda usimkute kuliko kuamini kuwa hayupo halafu ukienda umkute, ndugu kuna watu wanafikishwa chemba kwanza kupewa vifuti na mateke ya mbavu kisa kuamini hayupo na wakamkuta Famchezo?!
 
Whatever they say let them say. Ukicheza na mbwa utaingia nae msikitini.


Huyo salama yake madaktari waseme ni mwehu tu.
Muda mwingine uwe unaficha upumbavu wako bibi.
 
Huyo salama yake awe ni mwehu tu.

Serikali wakimwachia mitaani hatumwachi.
[emoji1787][emoji1787] Wewe ni mpumbavu sana.
Ivi huyo mnaemtetea sindio amewapa albadiri?
Ama mkiisoma haifanyi kazi?

Kwanini hamuwasomei albadir hao mnaosema wanakufuru.
Yani mnatumia nguvu kubwa kuumiza watu kwasababu ya huyo aliewapa albadir ambayo hamuiamin?

Hoples!.
 
Wewe ukimtukana au kumkeli Mtume wetuyeyote, tukikushika elewa kuwa kichwa chako halali yetu, labda uwe ni mwendawazimu tu ndiyo salama yako.

Sheria ya kukufuru haikuanzia kwenye Qur'an kaisome Biblia yako, nani aliifuta sheria hiyo?

Kumbuka hilo.
 
Whatever they say let them say. Ukicheza na mbwa utaingia nae msikitini.


Huyo salama yake madaktari waseme ni mwehu tu.
Sasa madaktari si wanaweza kuhongwa na kudanganyatu kuwa ni mwehu wakati ana akili timamu! Kwanini msimuulize alah utimamu wa akili wa huyo mtu ili awaambie usahihi?
Mnategemeaje ushahidi wa kidaktari kutoa hukumu ya kiroho?
 
Wewe ukimtukana au kumkeli Mtume wetuyeyote, tukikushika elewa kuwa kichwa chako halali yetu, labda uwe ni mwendawazimu tu ndiyo salama yako.

Sheria ya kukufuru haikuanzia kwenye Qur'an kaisome Biblia yako, nani aliifuta sheria hiyo?

Kumbuka hilo.
Yesu alifika na kuitangua Torati.Unabishana na Yesu wewe?
 
Huyo salama yake awe ni mwehu tu.

Serikali wakimwachia mitaani hatumwachi.



Duuh [emoji2297][emoji2357]

Aisee?!

Kwanini mnapenda visasi nyie?

Kwanini msiache Mwenyezi Mungu mwenyewe amhukumu kwa adhabu kwa kumsamehe?

Kwanini msiache Mungu wenu ajitetee mwenyewe?

Anayetakiwa kumpigania mwenzie ni nani kati ya Mungu na mwanadamu?

Kinapiganiwa kinyonge,

Chenye nguvu hujipigania chenyewe na kushinda.

Mnashangaza Ulimwengu mjue! [emoji848][emoji848]
 
We hapo huna dhambi hadi uhukumu mwingine



Wengine kama huyo Madamu huwa ni wachawi kabisa [emoji108]
Wamekuwa wakiua watu,
Wakiharibu maisha ya watu kwa namna mbalimbali,
Wakiroga watu waumwe magonjwa mbalimbali,
Wafitini,
Wakivunja ndoa za watu,
Makazini kuroga wenzao,
N.k.

Lakini wanajifanya Eti ni wepesi wa kuhukumu wenzao kwa mambo ambayo Mwenyezi Mungu mwenyewe anawashangaa! [emoji848][emoji848]

Kwendeni zenu huko! [emoji57]
 
Kwann asiuliwe ili iwe fundisho kwa wengine kudhihaki Imani za watu.



Kwanini mnapenda kuua ua nyie?

Mbona si watu wa rehema na msamaha?

Mbona Mungu amejaa rehema nyingi kwetu Wanadamu?

Dunia yenyewe sasa inatoka kwenye adhabu ya kuua Sababu wameona haisaidii.

Ni lini Magereza yaliwahi kufungwa kwa kukosa wakosaji?

Saingine adhabu haisaidii ni afadhali kumfunga gerezani au kusamehe .
 
Hii imani ya mtume imewafanya waafrika baadhi wamekuwa kama wasengerema, yaani wamekosa kabisa rationale kwenye decision making.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…