Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cha msingi CDM wasitumie nguvu nyingi sana kwenye kesi hii, bali waendelee na kuelekeza mapambano ya kudai Katiba mpya kwa nguvu zaidi sababu hilo ndilo lengo kuu kwa sasa. Dhumuni la CCM ilikuwa ni kumpiga mchungaji ili kondoo watawanyike na hili wameshalitimiza.Mi sio mwanasheria lakini ukisoma hayo mashtaka ni ya kipuuzi ambayo itakuwa vigumu kwa washtaki kuthibitisha.
Ninaloliona hapo ni kumpotezea lengo la kudai katiba mpya kwa kumnyima dhamana.
Hii inathibitisha hofu waliyonayo CCM endapo katiba mpya itapatikana,kwahio wanajitahidi kuzuia kwa nguvu zote.
Binafsi nikiwa mmoja wa vyombo vya ulinzi na usalama nitamlipia Mbowe 'in kind'.Kila ubaya aliotendewa Mbowe utalipwa
Mh,jaribu kumuondoa mtoto kwenye chuchu ya mama yake ndi utajua kwa Nini CCM wanafanya hayo yote,bila kujari maumivu yao moyoni.CCM na serikali yake, ni kwanini mnauogopa mchakato wa Katiba Mpya?
kujitia ujinga huwa haisaidii kuondoa hoja iliyopo mezani kwamba Watanzania wa leo wanahitaji Katiba mpya, hii katiba ya mwaka 1977 ambapo nusu ya watanzania walikuwa hawajazaliwa na hawakushrikishwa si katiba yao.. na uzuri katiba huwa ni mali ya wananchi si mali ya CCM , so kuidai siyo UHAINI ama UGAIDI kama CCM inavyotaka kuwaamisha wananchi.Mbowe aminywe bumpu mpaka ataje nani alimjeruhi kwa risasi kamanda Lissu.