Hati ya Mashtaka dhidi ya Freeman Mbowe iliyotumiwa Julai 26, 2021

Hati ya Mashtaka dhidi ya Freeman Mbowe iliyotumiwa Julai 26, 2021

Angefanikiwa tungesema POLICE au TISS awajui kazi. Sasa tunalalamika, kwakudhibikiti mauaji au janga lolote lile. POLICE wanaonea, ST wanaonea. Tusubiri Mahakama na ushaidi. Mbano ya Sebaya tunasubiri.
 
kujitia ujinga huwa haisaidii kuondoa hoja iliyopo mezani kwamba Watanzania wa leo wanahitaji Katiba mpya, hii katiba ya mwaka 1977 ambapo nusu ya watanzania walikuwa hawajazaliwa na hawakushrikishwa si katiba yao.. na uzuri katiba huwa ni mali ya wananchi si mali ya CCM , so kuidai siyo UHAINI ama UGAIDI kama CCM inavyotaka kuwaamisha wananchi.
Mimi naamini serikali yangu, Mbowe atulize macho yake kama panya aliyebanwa na mtego ni gaidi mpaka itakapothibitishwa siyo gaidi.
 
Mashtaka ya kipuuzi na ya kutunga, Mbowe kutaka Katiba Mpya sio kupanga kulipua vituo vya mafuta, hii dhulma iko siku mtaulizwa mbele ya safari mmekosa aibu kabisa.
mashtaka ambayo siyo ya kipuuzi yangekuwaje, weka mfano wake. cdm mbona mnapungukiwaga akili naman hiyo? mashtaka mazito kama hayo unasema ya kipuuzi? jeuri imewafikisha wapi hadi sasa? segerea.
 
ANGALIA TAREHE NA TAREHE YA SAINI
20210727_140129.jpg
20210727_140118.jpg
20210727_140111.jpg


Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
sasa vijana, wanaharakati na taasisi zingine tusikubali kutumika kuharibu au kuhatarisha Usalama wa Taifa letu.
tuache tamaa, tuheshimu na kuzitii sheria zetu.
inaonekana adhabu inayo tolewa na sheria hii ni kali sana endapo Mbowe na Magaidi wenzake watakutwa na hatia.
 
Hati ya mashtaka lazima iwe na lugha ya ki beberu eee
Hawa akina Hamnazo huwa hauwajui kipi hawakubaliani nacho na kipi wanakubaliana nacho, hakuna kitu kibaya kama pale mtu anapokuwa hajielewi.
 
Haya mashtaka yanachekesha sana mbona loh
 
DPP Mwakitalu na yeye tayari ameshaanza kuonesha dalili za kutumika vibaya, DPP kisheria ana haki ya kukataa kesi hii isiende mbele na akiondoa hawezi kuadhibiwa na mamlaka ya uteuzi sana sana ukikataa mbinyo kutoka kwa wateuzi utapandishwa cheo kuwa jaji.

DPP hana sababu za kukubaliana kutumika vibaya wala kuogopa kuchukuliwa hatua za kinidhamu katiba ya nchi inamlinda.
 
Naona lugha ya malkia iliyotumika haiko sawa grammatically mfano neno collection of funds nk
 
Very serious offenses

Haya ndio madhara ya kurun chama Cha siasa kama Serikali inayojitegemea.

Nilishawahi kuandika hapa haya madude yanaitwa sijui Redbrigade na nini sijui ni kujipa majukumu ambayo chama hakipaswi kuwa nayo.

Chama kinapaswa kueneza sera zake tu.

Madhara ya kuextend obligations ndio kama haya.
 
Very serious offenses

Haya ndio madhara ya kurun chama Cha siasa kama Serikali inayojitegemea.

Nilishawahi kuandika hapa haya madude yanaitwa sijui Redbrigade na nini sijui ni kujipa majukumu ambayo chama hakipaswi kuwa nayo.

Chama kinapaswa kueneza sera zake tu.

Madhara ya kuextend obligations ndio kama haya.
na kwa wanaomfahamu DJ, wanajua kabisa kwamba alifanya makisa hayo na alikuwa akiratibu. nyie wengine pigeni kelele lakini kelele zenu haziwezi kumtoa chura pangoni.
 
Back
Top Bottom