othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Ndiyo. Kwani vipi?Inamaana Chadema wanaweza kusubiri miaka 60 ijayo!
Mama alifikiria akirembua hovyohovyo atapendwa,kumbe watu wanamuona kilaza mla urojoMashtaka ya kipuuzi na ya kutunga, Mbowe kutaka Katiba Mpya sio kupanga kulipua vituo vya mafuta, hii dhulma iko siku mtaulizwa mbele ya safari mmekosa aibu kabisa.
Unaliwa mzutii na wanaccm wenzakomashtaka ambayo siyo ya kipuuzi yangekuwaje, weka mfano wake. cdm mbona mnapungukiwaga akili naman hiyo? mashtaka mazito kama hayo unasema ya kipuuzi? jeuri imewafikisha wapi hadi sasa? segerea.
UshuziHumjui Mbowe wewe!
Ni rahisi, Kama ulikuwa unawasikiliza vizuri wale waliotoka CHADEMA, ungeng’amua mapema ‘ugaidi’ wa viongozi wa CHADEMA. Angalia tu aina ya viongozi wa CHADEMA!
Watu wanapanga kulipua ofisi zao alafu wanasingizia serikali. Mbona usanii mwingi waliokuwa wanafanya ukichunguza ulikuwa unajulikana! Kujiteka, au wakiitwa polisi wanadanganya wametishiwa kutekwa, na wakikamatwa wanastage kwamba wametekwa. Kumbuka hata usanii wa kuchapa karatasi za kura siku ya uchaguzi!
Fuatilia hata kupotea kwa Ben Saanane kwa vyanzo vya watu wa CHADEMA, kwamba Saanane alimtishia Mbowe kuwa atatoa siri zake zote endapo atamuachisha kazi kama alivyopanga. Jiulize ni siri gani hizo? Alafu baadaye Mbowe anamvuta Saanane karibu na kumpandishia mshahara! Kisha anapewa safari ya kwenda SA kwa kazi maalum, ghafla anapotea! Alafu vijana waliopangwa mitandaoni wanaendeleza propaganda za kupotosha,
Au umesahau Mbowe alivyosingizia kapigwa na kuumizwa na watu wasiojulikana! Na jinsi viongozi wa ngazi za juu wa CHADEMA walivyokuwa wanaigiza kwa waandishi wa habari jinsi Mbowe alivyovamiwa! Kina Msigwa! alafu ukweli unakuja kujulikana in usanii tu!
Kesi hii itawafungua macho waliokuwa hawaijui CHADEMA, kwangu sishangai na najua mengi zaidi yanaweza kujulikana.
akili zenu kama hizi ndio zinawafanya mwende segerea kukabidhiwa ndoo. pyuuuuUnaliwa mzutii na wanaccm wenzako
Mungu hadhihakiwi Mwendazake aliwafanyiwa Watu haya haya lakini Mungu akatenda Miujiza juu yake Endeleeni kuwaonea Wapinzani Malipo MUNGU wa YAKOBO ATAWALIPAMashtaka ya kipuuzi na ya kutunga, Mbowe kutaka Katiba Mpya sio kupanga kulipua vituo vya mafuta, hii dhulma iko siku mtaulizwa mbele ya safari mmekosa aibu kabisa.
Kama kuna watu wamemhimiza afanye haya, watu hao wamempotosha vibaya sana.HAYA NDIO MAAMUZI MAGUMU YA CHADEMA SAKATA LA KESI YA UGAIDI YA MBOWE, '' RAIS SAMIA AMEVUKA MIPAKA'
Fatma karuma amesoma uingereza, na amefanya kazi uingereza, hajui laws and procedures nyingi sana zinazo apply kwenye Tanzania legal system. anapotosha watu kwamba ile hati ni defective, hajui maana ya defective charge, na ni mweupe kweney criminal. kwenu ninyi mnaomfuatilia huyu mwanaharakati, jueni kwamba sheria ninazokubali kwamba amebobea ni za makampuni, biashara na arbitration etc, ila kwenye ulingo wa criminal ni mweupe halafu huwa hajui hata anachoongea. na hajawahi shika kesi yeyote ya criminal katika mahakama za Tanzania, kama ipo itaje hapa. aliwahi kumwakilisha nani? na alishinda?JE WENYE NCHI WANANCHI ?
Source : DarMpya TV
- Hati ya mashtaka mbovu
- Kwanini Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkuu haiwezi kukataa hati ya kutajwa kesi
- Nini mantiki ya DPP kutumia hati ya mashtaka yenye mapungufu kupeleka kesi mahakamani
- Mbinu za kuchelewesha kesi kwa mgongo wa kutumia hati ya mashtaka mbovu
- DPP anapotayarisha hati ya mashtaka anatakiwa toka mwanzo aoneshe kutenda haki
- Katiba Mpya irejeshe mamlaka kwa wananchi
- Katiba ya kupewa ambayo haijapiganiwa na wananchi serikali huidharau na kuikiuka kwa file inaonekana ni kama hisani kwani haikupiganiwa na wananchi bali 'wananchi wamepewa'
- N.k n.k
mnavyoendelea kusubiri, ndoo inazidi kujaa kule segerea.kweli kabisa ni ya Kipuuzi na anaonewa lakini tusuburi kesi yenyewe ianze na hata ushahidi uanze kutolewa unaweza kushangaa yanajitokeza mambo ya ajabu ambayo yakawashangaza wengi.
huyu mnyarwanda naye ana lipo la kuisaidia TAnzania?Jenerali Ulimwengu - Kesi hii ni medani nyingine ya kufanyia Siasa. Na Mahakama sasa kuwa uwanja mwingine wa kufanyia siasa
Mwandishi mkongwe na wakili wa mahakama kuu Jenerali Ulimwengu amesema tuhuma zinazomkambili mwanasiasa Freeman Mbowe ni muendelezo wa njama za kumtoa ktk reli ya kisiasa mwenyekiti wa CHADEMA
"Tafakuri ya kisiasa ni kuwa mbinu hii mpya ni hatua nyingine ya kujaribu kumtoa Freeman Mbowe katika uwanja wa siasa baada ya mbinu zingine zilizotumika huko nyuma kushindwa kufikia lengo la kumzima kiongozi huyo shupavu wa upinzani nchini Tanzania" anahitimisha maoni yake mwandishi wa habari na mchambuzi wa kisiasa Jenerali Ulimwengu.
Ni Hotel ya Familia ya Mbowe. Iko Machame Hai District not Moshi District kama Hati ya Mashtaka inavyosomeka. Hivi hata kosa dogo hivyo wameshindwa kulitambua kabla ya kutoa hiyo hati? ''blowing fuel stations'' hiki ni Kibeberu cha wapi? ATTACKING, EXPLODING, BLASTING,Aishi ni hotel ya nani
Na nyie acheni kelele basi,na kwa wanaomfahamu DJ, wanajua kabisa kwamba alifanya makisa hayo na alikuwa akiratibu. nyie wengine pigeni kelele lakini kelele zenu haziwezi kumtoa chura pangoni.