kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 3,607
- 9,430
Subiri jumatatu uto [emoji2][emoji28]Mbumbumbu kwenye ubora wako
Khaaaaah sasa wangekaa nayo kmya tyuuh had j3, au wanapima upepo ili waone nn kipo nje, ili j3 wajue wanatoa maamuzi gan kulingana na mapokeo ya hii taarifa ya awali.Taarifa Iliyo Toka Ni Kidhazi tegrmezi
ukianza Kupima Vigezo vya Habari
Unaona Kama Kuna Mkanganyiko Wa Mantiki
Nahisi kuimbe Aliye Andaa Hii Press Release Some Extents
Atakuwa
Makolo mulibwanji?
Mchezaji haitaki team, fei sio mjinga had kuamua kufanya hivi, mumuache aondokeee.Nadhan yanga wangeongea na timu inayomtaka fei,,,wakubaliane ada ya uhamisho aende zake ,,,,
Kitendo Cha kufosi kuondoka alafu aje arudi Tena kundini binafsi nadhan hata sie Mashabiki hatukukipenda, hata huko dressing room kunaweza kuwa na mpasuko! Fei alikuwa mwanetu wa nyumbani kabisa pale jangwani, tamaa zilimpoza sikio likazidi kichwa, !
Yes alihitaji kuboreshewa mkataba, lakini njia liyotumia sio nzuri ! Nadhan hapa uongozi umekomalia hili swala ili iaminike Sheria zipo na hakuna mchezaji mkubwa kuliko club,,,,
Bravo Eng Said, Tff !
Kuvunja ana ruhusiwa mchezaji yoyote yule haijalishi amebakisha miaka mingapi as long sheria na taratibu zifuatwe na pande mbili zikubaliane.Tangu hapo inafahamika kuwa Feisal ni mali halali ya Yanga....kesi ya msingi ya Feisal na Yanga ni uhalali wa kuuvunja huo mkataba.......tunataka kamati ituambie baada ya kuwa yeye ni mali Yanga je ni halali kwake kuvunja mkataba vile alivyovunja.......
Aende lakini kwa utaratibu,,,, ! Alikutana na makanjanja hayajui Sheria yakamdanganya , akavimba kichwa ! Now hatumuhitaji, timu inayomtaka ije tukae mezani , aondoke kwa right price ili pande zote zifaidike (mchezaji na club )Mchezaji haitaki team, fei sio mjinga had kuamua kufanya hivi, mumuache aondokeee.
Kama unajua hata sheria za unyago usingesumbuka kushabikia Utoto wa Feitoto.
Labda kuna adhabu zitatolewa kwa mchezaji na timu iliyokuwa imemrubuniSasa ni nini kinafuata baada ya uamuzi huo!?
Sasa si amekataa hachezi,mtakuwa mnamleta kwa buldoza kwa hilo benchi?Atasugua bench mpaka atachina
Tunaita dependent variables yaani inahitaji variables zingine ikamilikeeeTaarifa Iliyo Toka Ni Kidhazi tegrmezi
ukianza Kupima Vigezo vya Habari
Unaona Kama Kuna Mkanganyiko Wa Mantiki
Nahisi kuimbe Aliye Andaa Hii Press Release Some Extents
Atakuwa
Hapo mambumbumbu ya utopolo yanazevezwa na kusetiwa ili wakija kustuka hakuna wa kumlaumu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kamati imeamua kuwa Fei ni mchezaji wa Yanga.
Ila Uamuzi kamili utatolewa j3? Mie ndo sielewi au taarifa haijakaa sawaa.