Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Makolo mnajipa tabu bure ndiyo maana mmeishia kuumia kwa nongwa.Hapo mambumbumbu ya utopolo yanazevezwa na kusetiwa ili wakija kustuka hakuna wa kumlaumu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unachezea akili wewe,nyimwa vyote lakini upewe akili hata ya kuvukia barabara tu....
Subiri tarehe 9 sasa.
Nenda kauvujeTanzania yangu daah kwani nani asiyejua Feisal ni mchezaji wa Yanga [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kikubwa tunataka maamuzi juu ya feisal kuvunja mkataba wake asepe
Ndo tunachohitaji kujua je anaruhusiwa kuvunja au laaah hayo maamuzi kamili ndo tunataka bhana
Kwani umeambiwa Yanga wanataka acheze?Sasa si amekataa hachezi,mtakuwa mnamleta kwa buldoza kwa hilo benchi?
Nimeishia kucheka, Jumatatu wanakuja na issue nyingineKamati imeamua kuwa Fei ni mchezaji wa Yanga.
Ila Uamuzi kamili utatolewa j3? Mie ndo sielewi au taarifa haijakaa sawaa.
Atakaa benchSasa si amekataa hachezi,mtakuwa mnamleta kwa buldoza kwa hilo benchi?
So wewe mkeo kila mtu akija anajigongea tu si ndio?Yanga mwenzangu una ubwege mkubwa sana. Yaani unafurahia hili? Yaani mke hakutaki anaondoka na anaenda kutiwa na mwanaume mwingine. Mahakama inamrudisha kwako kuwa hakuondoka na talaka unafurahia? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] WE SI BWEGE SANA? UTAKUWA NA AKILI KWELI? USITUAIBISHE SISI WENYE AKILI.
Yanga mwenzangu una ubwege mkubwa sana. Yaani unafurahia hili? Yaani mke hakutaki anaondoka na anaenda kutiwa na mwanaume mwingine. Mahakama inamrudisha kwako kuwa hakuondoka na talaka unafurahia? 🤣🤣🤣🤣🤣 WE SI BWEGE SANA? UTAKUWA NA AKILI KWELI? USITUAIBISHE SISI WENYE AKILI.So wewe mkeo kila mtu akija anajigongea tu si ndio?
Hakika mfano wako haukidhi vigezo hata nusu, kwanza kabisa ikiwa mke basi alikuwa hajatafunwa mbususu maana hakuchezea club yoyote wala kusainishwa lakini mbili nimeona jina lako Chizi Maarifa 🤣🤣🤣🤣Yanga mwenzangu una ubwege mkubwa sana. Yaani unafurahia hili? Yaani mke hakutaki anaondoka na anaenda kutiwa na mwanaume mwingine. Mahakama inamrudisha kwako kuwa hakuondoka na talaka unafurahia? 🤣🤣🤣🤣🤣 WE SI BWEGE SANA? UTAKUWA NA AKILI KWELI? USITUAIBISHE SISI WENYE AKILI.
Upo sahihi kwa sasa feisal ni mchezaji wa yanga kwaiyo anawajika kutumikia mkataba wake kama kawaida ikiwemo kuripoti kambini n.k ila suala la uhalali wa jaribio la kuvunja mkataba alilofanya litatolewa maamuzi jumatatuKamati imeamua kuwa Fei ni mchezaji wa Yanga.
Ila Uamuzi kamili utatolewa j3? Mie ndo sielewi au taarifa haijakaa sawaa.
Watu wameshamlipia mpaka mahari umerudisha... Wamemla....yaan alishakutema.... So huyo hana mapenzi nawe unaachana naye. Yeye siyo Mungu wakoHakika mfano wako haukidhi vigezo hata nusu, kwanza kabisa ikiwa mke basi alikuwa hajatafunwa mbususu maana hakuchezea club yoyote wala kusainishwa lakini mbili nimeona jina lako Chizi Maarifa 🤣🤣🤣🤣
Wakati mkiendelea kuelekeza macho yenu kwenye suala la feisal mkumbuke chama kabakoza moezi 6 ivyo kisheria anaruhusiwa kumalizana na timu yoyote itakayo hitaji huduma yakeTanzania yangu daah kwani nani asiyejua Feisal ni mchezaji wa Yanga [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kikubwa tunataka maamuzi juu ya feisal kuvunja mkataba wake asepe
Ndo tunachohitaji kujua je anaruhusiwa kuvunja au laaah hayo maamuzi kamili ndo tunataka bhana
Ni sawa ila dogo hawataki..Dogo walimjaza nae akakaza fuvu
Mchakato mzima kwa namna ambavyo feisal aliuendesha sio sahihi kumbuka kwa sasa hayupo kambini aliondoka akiamini kitendo cha kudeposit ile pesa tayari ni mchezaji huru kitu ambacho hakuwa sahihi ilitakiwa taratibu za kuvunja mkataba zifanyike akiwa anafauta matakwa yote ya mkataba uliopo sasa hivi ni kama TFF wamemkumbusha kwamba bado mchezaji wa yanga iyo ni hatua ya kwanza kuelekea kumaliza hili suala maana sasa feisal itabidi atoke uko mafichoni arudi kambini kuendelea kutumikia mkataba wake wa sasa yeye sio mchezaji huru kama ambavyo alifikiria mwanzoUtopolo kweli hsmnazo, Kwani kuna aliyebisha fei sio mali ya utopolo? TFF walipaswa kutoa ufafanuzi kama mkataba unamruhusu fei kuvunja mkataba kwa 112ml au la, na hayo ndio malalamiko waliyopeleka yanga kwa tff kwamba fei hajafuata utaratibu na ndio mana wakarudisha ile pesa.
Au ndio hiyo jumatatu tutaambiwa kuhusu utaratibu?
Hata mahali kabla ya kulipwa, mshenga hutanguliza barua kwani ndizo taratibu za kufuatwa kabla hujalipa mahali.Watu wameshamlipia mpaka mahari umerudisha... Wamemla....yaan alishakutema.... So huyo hana mapenzi nawe unaachana naye. Yeye siyo Mungu wako
Ni kweli mkuu, aliingia kwa kufuata utaratibu na aondoke kwa utaratibu vilevile' yanga wanamtoaje fei kwa 112 ml.!?Aende lakini kwa utaratibu,,,, ! Alikutana na makanjanja hayajui Sheria yakamdanganya , akavimba kichwa ! Now hatumuhitaji, timu inayomtaka ije tukae mezani , aondoke kwa right price ili pande zote zifaidike (mchezaji na club )
Sasa jamaa kaamua tu kumtia mimba mke wako halafu anakurudishia mahari yake... Na mke anaonekana kumpenda jamaa.....🤣🤣🤣🤣Hata mahali kabla ya kulipwa, mshenga hutanguliza barua kwani ndizo taratibu za kufuatwa kabla hujalipa mahali.