allesandro 2021
Senior Member
- Feb 10, 2021
- 142
- 156
Hatakama hanitaki,aondoke kwa utaratibu,tusiumizane.Yanga mwenzangu una ubwege mkubwa sana. Yaani unafurahia hili? Yaani mke hakutaki anaondoka na anaenda kutiwa na mwanaume mwingine. Mahakama inamrudisha kwako kuwa hakuondoka na talaka unafurahia? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] WE SI BWEGE SANA? UTAKUWA NA AKILI KWELI? USITUAIBISHE SISI WENYE AKILI.
Duuuh mbona ume ni CC... Hapa umepotea mimi Fei awe Yanga hainihusu wala asipokuwepo pia hainihusu utakua umenifananisha mkuu Ngalikihinja
Hapo tumekubaliana.Linishtue lipi? wakati taratibu zipo wazi,kama kufuata taratibu ni ujinga basi sawa. Ila uhuni huu wa kutokufuata taratibu litaliumiza soka la Tanzania.
Kwani mkataba uko upande mmoja? Unachotakiwa kujua ni kuwa wachezaji wetu wajifunze kuheshimu mikataba yao, mengine ni kivuli cha maumivu mnayopata baada ya hukumu hiiTanzania yangu daah kwani nani asiyejua Feisal ni mchezaji wa Yanga [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kikubwa tunataka maamuzi juu ya feisal kuvunja mkataba wake asepe
Ndo tunachohitaji kujua je anaruhusiwa kuvunja au laaah hayo maamuzi kamili ndo tunataka bhana
😂😂😂Duuuh mbona ume ni CC... Hapa umepotea mimi Fei awe Yanga hainihusu wala asipokuwepo pia hainihusu utakua umenifananisha mkuu Ngalikihinja
Hukumu HAINA MKANGANYIKO wowote. Inatosha kabisa kwamba Feisal ni mchezaji halali wa Yanga, labda kama unataka kusema TFF wanaweza kuiamuru klabu ivunje mkataba wake. Vinginevyo busara pekee kwa Yanga ni kuwaita mezani wale wote wenye nia ya kumsajili kijana ili waysmalize. Sioni namna nyingine ambapo hukumu hii inaweza kubadilika, utata unatengenezwa na wale waliotamani maamuzi yawe tofauti.Yanga wanaweza kuchukua hatua baada ya hukumu ya jumla sio hii ambayo bado ina mkanganyiko.......andiko hili la tff bado halihitimishi suala la FEISAL
Kwanza licha ya kutumia lugha isiyo staha nakuuliza, Fei kuchezea timu ipi nyingine (kutiwa) ndipo akarudishwa? Ushabiki mandazi. Yanga walitaka tu ifahamike kuwa Fei ni binti yao hivyo atakaye kumposa aje mezani, sio kumtwaa kama kiruka njia. Sasa ni wakati sahihi wa kuleta posa ili mahari ijadiliwe.Yanga mwenzangu una ubwege mkubwa sana. Yaani unafurahia hili? Yaani mke hakutaki anaondoka na anaenda kutiwa na mwanaume mwingine. Mahakama inamrudisha kwako kuwa hakuondoka na talaka unafurahia? 🤣🤣🤣🤣🤣 WE SI BWEGE SANA? UTAKUWA NA AKILI KWELI? USITUAIBISHE SISI WENYE AKILI.
Wewe jamaa huelewi lolote katika unayo bishania, kuendelea kuandika ni kujiaibiaha.Ndug tofauti yetu mimi na wewe ni mitazamo tu kuniambia mimi ni mjinga sio sawa mbona mimi hakuna mahali nimekutukana??? Kuwa muungwana basi umesema hujui kama kama nimemaliza hata primary je kama ni kweli sijamaliza hata primary je ningeweza kuandika ukaelewa kama sijamaliza darasa la 7??
Hivi kwann mnachukia sana mtu akiasema ukweli?? Hivi ukiwa mshabiki wa utopolo lazima akili ziyumbee na kuduma??? Unasema hajafuata utaratibu lakini unasahau huyu fei aliingiza pesa ambazo ni haki yenu yanga ambao mlimsajilia kweny account yenu mkazirudisha sasa mnasemaje hajafuata utaratibu huo mnaoutaka nyie hawezi kuufuta kwa sababu kuna njia nyingine ambayo mtakaba unampa kufuata sio hio mnayotaka ninyi ziko njia na taratbu nyingine kweny huo mtakataba zinamruhusu sema nyie mnataka kuabudiwa kama miungu Wangu vile mnamlzamisha atumie hio njia yy hataki anatumia njia nyingine hamtaki sasa mnaanza kulia lia na kutia huruma hapa.. Mtu alisema kweli mnakiwa wakali na kuanza matusi ndug huu mchezo hautaki hasira hata kidogo kuwa mpole lakini sio George wa Geita
Mkeo anakuomba talaka, wewe unamuuliza jirani mulibwanji?!?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Makolo mulibwanji?
View attachment 2471972
Ooooohh....kumbe umeumizwa na kuachwa. Hapo nimekuelewa.Hatakama hanitaki,aondoke kwa utaratibu,tusiumizane.
Huo ni mtazamo wako.....na hatuna budi kuuheshimu..,Hukumu HAINA MKANGANYIKO wowote. Inatosha kabisa kwamba Feisal ni mchezaji halali wa Yanga, labda kama unataka kusema TFF wanaweza kuiamuru klabu ivunje mkataba wake. Vinginevyo busara pekee kwa Yanga ni kuwaita mezani wale wote wenye nia ya kumsajili kijana ili waysmalize. Sioni namna nyingine ambapo hukumu hii inaweza kubadilika, utata unatengenezwa na wale waliotamani maamuzi yawe tofauti.
Dogo hajawakosea Yanga isipokuwa anaipigania kesho yake iliyo njema....Ndicho wanacho subiria Yanga cha msingi wasimkomoe ila dogo kawakosea Yanga.
TFF wameshasema, achana na upande wa maoni yangu. Fei ni mchezaji halali wa Yanga, mengine ni wishful thinking.Huo ni mtazamo wako.....na hatuna budi kuuheshimu..,
Lakini Bado hukumu haijakamilika......!!TFF wameshasema, achana na upande wa maoni yangu. Fei ni mchezaji halali wa Yanga, mengine ni wishful thinking.
Kaka sawa anapigania haki yake ya kesho ila afuate utaratibu na sheria yy ana haki kweli ila hata Yanga ana haki kimkataba.Dogo hajawakosea Yanga isipokuwa anaipigania kesho yake iliyo njema....
Nadhani ni ufafanuzi wa jinsi walivyofikia maamuzi hayo. Hukumu ni hiyo, kinachosubiriwa na maelezo ya kina.Lakini Bado hukumu haijakamilika......!!
Kwa hiyo hapawezekani kuwepo na matumaini kwenye hayo maelezo ya kina......???Nadhani ni ufafanuzi wa jinsi walivyofikia maamuzi hayo. Hukumu ni hiyo, kinachosubiriwa na maelezo ya kina.
Sawa ngoja tuone hitimisho la kamati hapo jumatatu panapo majaaliwa.....Kaka sawa anapigania haki yake ya kesho ila afuate utaratibu na sheria yy ana haki kweli ila hata Yanga ana haki kimkataba.