Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Tusifurahie yakimkuta makuu maana pesa hazitapatikana, sana acha wafurahi wakina Mengi maana ndio watashika nafasi za juu kati ya mabilionea wa Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
how the hell is Mtikila close to Manji...lol acheni masihara... Manji is the owner of the Largest Conglomerate in Tanzania. Ni fisadi na mfuga mafisadi but he is not closely associated na Mtikila... Please!!!
how the hell is Mtikila close to Manji...lol acheni masihara... Manji is the owner of the Largest Conglomerate in Tanzania. Ni fisadi na mfuga mafisadi but he is not closely associated na Mtikila... Please!!!
Tusifurahie yakimkuta makuu maana pesa hazitapatikana, sana acha wafurahi wakina Mengi maana ndio watashika nafasi za juu kati ya mabilionea wa Tanzania.
Wakinywa sumu mafisadi 10 hivi wakafilia mbali huko, Tanzania will be a safer place. Si wanahatarisha uchumi na usalama wa nchi hawa, au mi ndo sikusikia vizuri!!
jamani,tusitumie uwepo wa matukio kuandika chochote...mnataka wazee wa jangwani tuandamane eeh!!
Wamchukue DNA sample yake ili iwekwe kwenye data bank na hii ni kwa mafisadi wote, ili siku za usoni tunaweza kutrace watu wenye thinking ya kudissappear kama Manji