Hatimae dada mkuu, Lady Jay Dee ni mjamzito

Hongera zake
 
Inasemekana
 
Chai
 
Hongera kwa kidume aliyefanikisha hili
 
Ana Miaka Mingapi ?
 
Si yule mtangazaji marehemu alisemaga eti alikuwa anamkojoza huyu dada kwa miaka kadhaa?
Mbona sasa hakufanikiwa kumpa mimba miaka yote hiyo?
Au kulikuwa na changamoto nyingine?
 
Nani kakutuma kupost hii mambo,kwanini usiwe na subra na kaba,kwani unapotrza nini mjini hapo kwa kuamua kuwa kimya.
 
Hongera zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…