Hatimae dada mkuu, Lady Jay Dee ni mjamzito

Hongera kwake mwanangu @oscaroscar
 
Huu si ujauzito ni uvimbe wa tumbo kapata kutokana na kula sana kitimoto na kunywa pombe kali.
 
JD anasema amezaliwa 1979 (yaani kwa sasa ana miaka 45+), lakini ukifuatilia vizuri utagundua huo umri amechakachua.
Kivipi?
Lady JD ameanza kuhit kimuziki, tena kimataifa mwaka 2000 (yaani akiwa na karibu miaka 21), na wakati huo alikuwa amechakula kidato vizuri na huenda na chuo na kwa vyovyote vile amekuwa underground kimuziki kwa at last miaka 5 kabla ya kupata management nzuri ya kumtoa kimataifa.
Sasa unawaza tu, binti wa Kikurya tena kisabato aliwezaje kufanya mziki wa bongo flavour akiwa na miaka 15?
Jibu haiwezekani.

Kwa uchambuzi wa kimatukio, unaweza ukajua huenda dada yetu alizaliwa kabla ya 1975, na kwa sasa ana miaka isiyopungua 50.
 
Thinking is hard, that's why we judge.
 
But in 20yrs to come Tz itakuwa na watoto mazombie wengi... Mwanamke wa kiafrika kuzaa akiwa 35+ ni kuzaa changamoto... Mnameza sana P2, mnafanya sana abortion, mnatombeka sana...
No offence ila kama kweli umeamua kuongelea kuhusu uzombie miaka 20 ijayo nakataa. Naamini uzombie umeshaanza na ushahidi mzuri ni hiki ulichokiandika.
 
Halaf wema anakata tamaa kupata mtoto wakati sasa hivi unapata mimba ni pesa yako tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…