Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Hongera kwake mwanangu @oscaroscarMungu ni mwema kila wakati.
Hakika usimkatie mtu tamaa. Inasemekana dada mkubwa, binti komando, ni mjamzito.
Ikumbukwe ni muda sasa anatafuta mtoto, hatimae mungu amesikia kilio chake. Dada mkubwa anajiandaa kupata mtoto wakati wowotr kuanzia sasa!! Kila hatua dua.
Kila la heri kwako.View attachment 3237669