Hatimae Flora Mbasha awa Flora Kusweka

Wewe acha kumdanganya na kuudanganya umma. Hiki ni kituko. Ni kinyume na dini yake. Kitendo hiki kipashwa kukemewa kwa ukali sana. Kwa ufupi FLORA kwa sasa ana wanaume wawili na hii inaitwa UKAHABA.
Ni ukweli mchungu lakini usemwe kwa upendo! Mungu awape kuyatengeneza! Flora (aliyedai talaka mahakamani) amrudie Mbasha! Hilo linawezekana maana hakuna lisilowezekana kwa Mungu!
Huyu dogo amejivika jukumu la kulea mke wa mtu! Japo sina uhakika kama analea au analelewa!
 
je Flora alipima UKIMWI. kulikuwa na rumours kwamba ni jumlisha.
 


je Flora alipima UKIMWI. kulikuwa na rumours kwamba ni jumlisha.

You made my day [emoji2] [emoji2]
 
Tatizo huko chini hakuwezi kuishi na upweke
 
kweli frola ni fara sana hapo usikute yeye ndo kamforce huyo kiboy wafunge ndoa ilimladi tu sijui amuonyeshe x wake.. yaan ww frola ni choko wa machoko.. watu kama hao moto wao unawasubili wa kujifanya wanamtukuza mungu huku ngenye zinawasumbua na kutembea na vitoto vidogo
 
Nyege nyege Ngunga
 
Naona unamtetea Fuska Flora Mbasha (FFM)
 
Wewe acha kumdanganya na kuudanganya umma. Hiki ni kituko. Ni kinyume na dini yake. Kitendo hiki kipashwa kukemewa kwa ukali sana. Kwa ufupi FLORA kwa sasa ana wanaume wawili na hii inaitwa UKAHABA.
Ni kweli kabisa ni UKAHABA
 
Huyo kijana kaamua kwenda kuoa Used (Mke wa mtu) wakati mabinti wabichi kabisa wapo tele.
Hivi hiyo ndoa imefungwa kanisa gani?
Maana kiuhalisia Wakristo wanaoana mara moja tu katika maisha yao au mpaka mmojaa afariki dunia ndio inawezekana kuoana tena.
 
Mmmmm, hongeren ila vumilianen kwenye madhaifu yenu. Mungu awape maisha marefu na yenye mafanikio mazuri.
 
Dogo na ww akikuchoka atakuacha kwa fedhea! Tabia ni tabia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…