Jimmy George
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 1,733
- 1,648
Sawa mkuu.Achana nae....hilo ni time bomb,,, kama ni demu gonga tu ila kama ni mke wa kuspend nae life time, kwene uzima na maradhi, kwene njaa na shibe, n.k achana nae tafuta mwanamke wa kuoa
Mchungaji kwanini hili swali tusikuulize wewe?
Huu ndio ulokole?
Yaaani we acha tu, watu kimewauma utasema walikua katikati yao wakilala usiku,We live by the choice we make not by chance
Kama hakuwa na furaha nara ya kwanza kwa nini ang'ang'anie kuishi na mbasha?? Hatujui nini kilitokea mpaka kaamua kumuacha tena kwa kumbambikia kesi afu ukitanguliza hisia hili swala huwezi kuona clear picture
Afu mbasha nae kulalamika kumekuwa kwingi inaashiria low self esteem anajifanya anajifanya kuposti picha na mtoto watu wamuonee huruma
Yaani anaonekana desperate hizo mambo huwa wanafanya wanawake mwanaume ukifanya hivo unaonyesha kutojiamini watoto wa kike huku usukumani unakuacha mara moja
Umenikumbusha mbaliHaya maisha ni kula pombe nenda lala baaasi...
Papuchi ni kama bigijii inatanuka na kusinyaa haina shidaaHainaga makombo hiyo mjomba!!
Walifunga Ndoa kanisaniSasa kabla cjasema kitu,,,,,,,ebu mniambie kwan alishawai kufunga ndoa kanisani????? Au waliishi tuuu??? Tuanzie hapo
Sura yake inaonyesha ni mtu mwenye Stress sana{Mawazo sana}Mbona Flora amekuwa mbaya hivyo?
Mungu anisamehe ila amekuwa kama Maiti usoni.
Kasema nani!!?huko kwenye bibliaWewe ndo hauijui biblia! Kwenye biblia hakuna kuachana. Hata ikitokea kuachana kwa sababu ya zinaa hakuna kuoa au kuolewa tena kama mume au mke bado yu hai!
Walifunga Ndoa kanisani
Haina makombo boss.Huyu mtot wa kiume hana kinyaa!
Kwa sababu ya Flora?Kweli nimeamini urokole ni usanii tupu.
Watake radhi kina daudAkina Daudi wote ni fafafafaaaa tupu...kichwa nazi, huwezi enda zowa makombo ya mtu uanze kula kama wewe siyo fafafafaaa..
Ndo washaachana sasa na Flora kashaolewa. Nenda kajinyongeWewe ndo hauijui biblia! Kwenye biblia hakuna kuachana. Hata ikitokea kuachana kwa sababu ya zinaa hakuna kuoa au kuolewa tena kama mume au mke bado yu hai!
Mbinguni unakujua wewe?MTU hufungwa kwa kamba za kinywa chake! Ukiapa inakuwa hivyo hata kama ulikuwa unadhani unatania! Ukiunganishwa umeunganishwa maana umetoa nafasi kwa kinywa chako kuunganishwa! Suala kuwa ulikuwa unadanganya halipo Bali ulikuwa unaidanganya nafsi yako mwenyewe! Na utavuna matunda ya udanganyifu kwa kujifunga kwenye ndoa mpaka kifo kikutenganishe! Vinginevyo utakuwa umeikana IMANI na sahau habari ya kufika mbinguni!