Hatimae Flora Mbasha awa Flora Kusweka

Mlitaka aishi bila dushe? Mwacheni banaa! Tatizo lake ni kiutangaza sana hiyo ndoa angepiga kimya kimya!
Kwani yule mtoto alomzaa hakugegedwa ?? Sasa dushe lipi unalosema. Huyu mama nilimbukeni hata huyo dogo hata dum nae. Akatokea tena mwingine mweupe hb mrefu anabeba.
 
Unahukumu tena na kuombea mabaya ndio ukristo huo?
 
Mkuu hilo lisikusumbue kuna mungu na Mungu, acha abebe furushi lake kwani Ukristo utaendelea kudumu na misingi yake ni imara bila kujali wangapi wanakengeuka kwa tamaa zao za miili
Umenena.[emoji122] [emoji120]
 
Wewe acha kumdanganya na kuudanganya umma. Hiki ni kituko. Ni kinyume na dini yake. Kitendo hiki kipashwa kukemewa kwa ukali sana. Kwa ufupi FLORA kwa sasa ana wanaume wawili na hii inaitwa UKAHABA.
Hivi mchungaji aliyefungisha alikuwa hajui kuwa flora ni mke wa mtu au ndo alishikishwa mtonyo wa maana.....Tutasema ni mchungaji kumbe ni maigizo tu......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…