Hatimae Flora Mbasha awa Flora Kusweka

hahahaaa
nikiona Thad ako off line ndio huwa nalala.

ila hata wewe uwa unasongesha kweli, ni tim popo ee?
 
Team popo forever,itabidi tuanzishe chama letu la mapopo! Maana si mchezo
hahaaha
ila mi uki sleep wewe na mi ndio na uchapa, so tutlianzisha hilo tuwe tunkesha kulinda group
 
Ndio maana huyu naye kaamua kubaka kijana.
Acha mawazo chakavu dear, mbona mdada wa miaka 26 anaolewa na Mme wa miaka 38! Ni maelewano tu!
Na umri wa waoanao sio tatizo bora miili yao inaendana
 
na tamaa zake za kimwili angempelekea nani? angekua mzinifu, bora nini sasa?
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Sasa ni wazi nani alikua mkosaji pale awali.

By the way, maadam ni ndo ya kikristu inayofata maadili ya kizungu, jina Mbasha haliondoki. Atakuwa Flora Mbasha Kusweka. Ndio shida ya talaka za kizungu.
FLORA MBASHA KUSWEKA
 
hahaha
jaman si dogo kubwa kabsa hilo lina 26
lina jua linacho kifanya kabsa
Maskini kumbe ana 26 yrs tu?
Hivi vijana wana nini siku hizi? Mbona vijana wenzenu wamejaa tele? Au ndo kupenda kitonga sana.
 
Maskini kumbe ana 26 yrs tu?
Hivi vijana wana nini siku hizi? Mbona vijana wenzenu wamejaa tele? Au ndo kupenda kitonga sana.
hahaha
kwan 26 jaman si mtu mzima kabsa huyo?
mi naona kawaida , simpendi tu Flora alivo ila ngekuwa nampenda namuoa tu kama dogo alivo fanya. sema jamaii ndio ita wakaanga kweli kweli
 
hahaaha
ila mi uki sleep wewe na mi ndio na uchapa, so tutlianzisha hilo tuwe tunkesha kulinda group
Aisee mi sikuwezi,wewe ni zaidi ya popo! Utanipoteza bure.[emoji126] [emoji126] [emoji126]
 
Aisee mi sikuwezi,wewe ni zaidi ya popo! Utanipoteza bure.[emoji126] [emoji126] [emoji126]
hahaha
usjali, my job itakuwa kulinda group na kuto lala mpaka wewe umelala ndio na mek sure na mi nasinzia
 
hahaha
kwan 26 jaman si mtu mzima kabsa huyo?
mi naona kawaida , simpendi tu Flora alivo ila ngekuwa nampenda namuoa tu kama dogo alivo fanya. sema jamaii ndio ita wakaanga kweli kweli
Hapo kwa kweli ukioa wa hivyo,usinipe kadi ya mwaliko....huo ubest wa u team popo na ufe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…