Jimmy George
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 1,733
- 1,648
Nimefunguka tayari mkuu...Funguka mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimefunguka tayari mkuu...Funguka mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kitakachobadilisha ubin wangu ni u first lady tu basi....huo uheshimiwa wa ubunge na blah blah zingine,never!
Btw best unalalaga saa ngapi? Maana kila nikipitaga huku nakukutaga hadi mida ya wanga [emoji12] [emoji12] [emoji12]
hahaahaTeam popo forever,itabidi tuanzishe chama letu la mapopo! Maana si mchezo
Acha mawazo chakavu dear, mbona mdada wa miaka 26 anaolewa na Mme wa miaka 38! Ni maelewano tu!Ndio maana huyu naye kaamua kubaka kijana.
na tamaa zake za kimwili angempelekea nani? angekua mzinifu, bora nini sasa?Ni aibu kwake biblia imesema alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe,
lakini pia mtume paulo kashauri ingekuwa bora kama ingewezekana kuishi bila koa au kuolewa Bali kumutumikia Mungu.
Sasa kama ndoa imesumbua kwa nini asingeamua kukaa peke yake na kumutumika Mungu?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]aaaah! huwa hawabadili vyeti bhana [emoji23] [emoji23]
unabadili katika ile social status stuu, mi mwenyewe nikioa mke wangu hawezi badili jina la kwenye vyeti vyake au kazini ( though mke wangu atakuwa ana cheti cha la saba tu, akizid saana cha form four, so haito leta shda) but kwenye ishu za kijamii tu ndio unabadili ni heshima kwa mumeo na kwa jamii pia, ndio hata unakna kina michelle ni michelle Obama,
sema pia unachonga sana kwakuwa hujui mumeo atakuwa nan, mwenzio hillary alikuwa na kiburi hivo hivo, mumewe alipo ukwaa Urais akabadili fasta[emoji23], na wewe unaeza sema ooh sibadili, ukaolewa na successful person of coz u will like to associate you name with his big nem
hahahaNdio maana huyu naye kaamua kubaka kijana.
FLORA MBASHA KUSWEKASasa ni wazi nani alikua mkosaji pale awali.
By the way, maadam ni ndo ya kikristu inayofata maadili ya kizungu, jina Mbasha haliondoki. Atakuwa Flora Mbasha Kusweka. Ndio shida ya talaka za kizungu.
Maskini kumbe ana 26 yrs tu?hahaha
jaman si dogo kubwa kabsa hilo lina 26
lina jua linacho kifanya kabsa
hahahaMaskini kumbe ana 26 yrs tu?
Hivi vijana wana nini siku hizi? Mbona vijana wenzenu wamejaa tele? Au ndo kupenda kitonga sana.
Aisee mi sikuwezi,wewe ni zaidi ya popo! Utanipoteza bure.[emoji126] [emoji126] [emoji126]hahaaha
ila mi uki sleep wewe na mi ndio na uchapa, so tutlianzisha hilo tuwe tunkesha kulinda group
hahahaAisee mi sikuwezi,wewe ni zaidi ya popo! Utanipoteza bure.[emoji126] [emoji126] [emoji126]
Utavaa mumy kuwa na imani Muda wako uko karibu.kweli mwenzangu sijui kama nitavaa tena
Hapo kwa kweli ukioa wa hivyo,usinipe kadi ya mwaliko....huo ubest wa u team popo na ufe tu.hahaha
kwan 26 jaman si mtu mzima kabsa huyo?
mi naona kawaida , simpendi tu Flora alivo ila ngekuwa nampenda namuoa tu kama dogo alivo fanya. sema jamaii ndio ita wakaanga kweli kweli
Niliteleza tu dear.Umekwazika?Acha mawazo chakavu dear, mbona mdada wa miaka 26 anaolewa na Mme wa miaka 38! Ni maelewano tu!
Na umri wa waoanao sio tatizo bora miili yao inaendana
Haya best mi nalala zangu,endelea kulinda jukwaa mpaka majogoohahaha
usjali, my job itakuwa kulinda group na kuto lala mpaka wewe umelala ndio na mek sure na mi nasinzia