Hatimae Flora Mbasha awa Flora Kusweka

Hatimae Flora Mbasha awa Flora Kusweka

Mlesema aolewi mbona kuolewa chereko chereko cherekoooooo
Khe [emoji15]
Kumbe ndoa ya 2
[emoji23]
 
Flora kaweka historia kwa waimbaji wa nyimbo za injili kuolewa marambili.

Kilichounganishwa na Mungu binadamu hawezi kukitenganisha.....Hehehe nani kasema....?

Hahahaha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwingine Rose Mhando hana ndoa ila kazaa na mchungaji
 
Sipati picha Emanuel Mbasha ansjisikaje....mmmmh ila Frola kwa vyovyote vle bado napata ukakasi kuhusu haki ya maamuzi yake....
 
Hakuna adanganyaye hapa na hakuna anayeweza kulithibitisha hilo unalotaka kutuaminisha kuhusu ndoa. Huwezi kuishi maisha ambayo yanamakwazo mwanzo mwisho ati ukajidanganya kuwa katika mazingira hayo unaweza kumtukuza Mungu.
Na nani kakwambia kwamba Flora kwa uamuzi huo atakuwa kahaba katika maisha yake? Suala la maisha ni kitendawili kigumu sana ndio maana hata wajuvi wa dini wakaamua kutuficha baadhi ya mambo mazito yaliyo nyuma ya maandiko kwa sababu kuna a lot of confusion. Huwezi kuendelea kuishi na mtu ambaye unaona kabisa ni makwazo mwanzo mwisho. Yule amkwazaye aliyefanywa kuwa mwana ni heri akafungwa jiwe la kusagia na kumtosa katika kina kirefu cha bahari. Kwa maana hiyo, Neno la Mungu halijakaa kimya kwa wakwazao wenzao, kuna adhabu kwa wakwazao wana wa Mungu. Hapa ama ni Mbasha katoswa kwenye kina kirefu au ni flora.
Katika makwazo ya kimahusiano utawezaje kumtumikia Mungu katika roho na kweli. Zaidi utakuwa ni unafiki. Ndio maana hata katika ufunuo wa Yohana ujumbe kwa kanisa LA saba ilikuwa ni akheri uwe moto au baridi maana ukiwa vuguvugu nitakutapika utoke kinywani mwangu.
Flora amekuwa ama moto au baridi na sio vuguvugu. Sasa ni Mungu mwenyewe anajua kati ya baridi na moto kipi ni chake. Akili na mawazo ya Mungu sio ya binadamu. Huenda unayemtuhumu na kumhukumu Flora umekuwa vuguvugu.
acha kutetea uzinzi, hakuna ndoa mbili ya kikristo, kama aliona hawezi kuvumilia makwazo angekaa hivi hivi bila kuolewa, kwa nini akimbikie kuolewa tena na katoto? ina maana bila kuolewa asingeweza kumtumikia Mungu?
 
Tuko busy.kumuhukumu flora.tunasahau kuhusu dhambi zetu.
Sina mamlaka ya kumuhukumu MTU kuwa ni mkosefu.yule aliyetuleta ndo anatujua zaidi.tuache kuhukumu.
 
Tusikariri. Tuchambue. Kwani maisha nini? Hivi Biblia unaisoma kuanzia kitabu gani, ndugu Francoo. Maana ndoa zilikuwepo tangu enzi za agano LA kale ambalo halikutenguliwa na agano jipya bali lilitimilizwa. Hivyo, sio busara kusoma yale tu yanayokupendeza moyoni bali hata yasiyokupendeza maana kwayo utajenga msingi wa kuimarisha utetezi juu ya yanayokupendeza pasipo kuikwaza kweli. Biblia inasema, itafuteni kweli na kweli itakuweka huru. Ukikwepa ukweli utaumia wewe maana kweli haibadiliki.
Huwezi leo kukataa kuwepo yasiyovumilika.
By the way, angebaki pasipo kuolewa kwa faida ya nani? Asiolewe ili kumfurahisha nani? Maana uzinzi upo hata kutamani tu demu anayepita mbele yako, unamwangalia hadi unamzini. Ni uzinzi tu huo kama ulivo wa kitandani au kichakani.
Hivyo, iwapo asingeolewa ni wazi angeendelea kuzini kwa mawazo. Angekuwa ni mtu wa kuelekeza macho yake kwenye suruali za wanaume kuona zinavyotuna kwenye zip. Ameamua sahihi na Mungu ndiye mwenye hatma yake.
Ni vema tukaheshimu maamuzi yake.
Aidha, wengine wanasema kaoa kijana; duuuuuh, kwani kambaka? Ikumbukwe ndoa ni mchakato ambao hata wazazi huridhia, sasa wewe unayesumbuliwa na tukueleweje kama sio wivu?
 
Hongera kamanda kula vitu kihalali sasa. Yule dreva taxi wacha akakamate na yeye guberi lake huko tandika
 
Hatimaye staa wa muziki wa Injili Tanzania Florance Henry 'Madam Flora' amefunga ndoa na Daudi Kusekwa baada ya kukaa muda mrefu wa upweke kutokana na kutengana na aliyekuwa mumewe Emmanuel Mbasha.

Umesema vyema Nsibhwene ila kuna kitu wengi mnashindwa kutofautisha, kati ya neno kweli na ukweli....kweli ndiye Yesu Kristo, na neno kweli katika Biblia ni tofauti kbs na neno ukweli/kweli ambayo inatumika sana ktk maongezi ya kawaida!
'Kweli itakuweka huru, ikiwa na tafsiri ya Yesu Kristo atakuweka huru'
 
Hahahaha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwingine Rose Mhando hana ndoa ila kazaa na mchungaji
Eeee!!
Huyo mchungaji alikuwa na mke..?

Hawa watu ukiwafatiria sana waweza kuweweseka.
 
Back
Top Bottom