Hatimae hukumu imetoka tayari, siku ya kwanza tu ya kesi kusikilizwa

HOnestly sina mpango huo mkuu. Na hii ni kwaajili yao hapo badae. Maana najua mama yao yeye plan yake ni kuishi na mtu sasa mimi siwez tena hizo habar zitakua zinamalizwa juu kwa juu.
 
Mke wa Bilgate aliomba talaka na mgao wa mali ila mwishowe alitamani kurudi kwa mume wake


Mke wa Elon Musk wa kwanza alimuacha mke wake ila kwa sasa anatamani na anampenda mume wake wa zamani
 
Mke wa Bilgate aliomba talaka na mgao wa mali ila mwishowe alitamani kurudi kwa mume wake


Mke wa Elon Musk wa kwanza alimuacha mke wake ila kwa sasa anatamani na anampenda mume wake wa zamani
Sisi wabangaizaji uuwa wanatuona hatuna maana
 
Haikuwa na sababu attacking her personally.

Si mhusika.
Alitoa mawazo yake kwa namna hakumuoffend mtu..kuandika matusi, kuaddress watu hara hawajakukosea wewe personally si namna sahihi ya kutoa mawazo.
Ungeweza kupita comment yake, au kumuelewesha in a very positive manner kiasi angeona kosa lake(iwapo lipo bila kuandika matusi.

My few cents.
 
Kwa case mezani jamaa akaze hakuna kurudi nyuma huyo malaya atakuja amtie maradhi amuue,mwanamke na watoto wanne (4) anayekubali kuvuliwa chupi hovyo akachomekwa uume na hawara huyo ni kichaa.

Wa hivi utakuta bodaboda wanaweka,Wagogo mabuchani wanaweka,Mangi dukani anaweka Wasambaa wauza mkaa wanaweka yaani ni ronya watu wanajiokotea tu jamaa ameshapata upenyo hii ni chance adhimu a-dump hiyo kenge....stupid kabisa tia sana hasira
 
Noma
 
Pole sana ila Kuna sehem umetunyima uhondo ,pale ulipokataa kuongea naye pembeni,
Kabisa ametunyima uhondo! Mimi nilikataa kama yeye mbele ya mchungaji,siku tunapiga stori ananiambia yeye alitaka ile siku tumeonana kwa mchungaji alitaka yaishie pale ila mimi kukataa kuongea pembeni ikabidi aendelee mbele mpaka hatua ya mahakamani then talaka...hayo ananiambia kipindi tumezaa tena baada ya Talaka , alipokuja kwangu kumleta mtoto baada ya kujifungua,alikaa wiki mbili akarudi kwake.
 
Aaahh hapana kaka. Siwezi. Siwez fanya hivyo, hata kuzaa tu sina mpango huo tena.
Mimi nlikutana na changamoto hyo miaka 10 na iliyopita...
Ila nlimaliza kibingwa na tko nkampa juu
Ukishaona umeingia kwenye vita ya mambo ya ndoa basi ujuwe hapo mtakuwa mnaviziana
Kesi za ndoa ni civil case ila wanawake/watu wengi hutafuta timing ya kukuingiza kwenye jinai (criminal case) yote kukutingisha
Hapo sasa inatakiwa akili nyingi + utulivu
Nmeshangaa tu ulivyos3ma wee ndy umemfumania na picha za uchi + sms zake alafu huyo huyo anakuja anakuburuza hadi kukuw3ka ndani na inaonesha aliku temper

Ova
 
Kwamba baada ya talaka mkazaa mwingine?
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mimi nilitengenezewa criminal pia.

'"LIFE THREATS "
niliumia kwa kiwango kila nikikumbuka hili shtaka naishiwa mpk nguvu ya Co parenting.

Nasema kila mmoja alee tu wanae itakqvyofaa.
 
Kwamba baada ya talaka mkazaa mwingine?
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tulizaa tena kabinti, na alipojifungua alikuja kukaleta...aliporudi kwake,usiku mtoto akilia sana ananipiga simu nikamsaidie kumbembeleza nae alale kidogo anachoka
 
Mimi nilitengenezewa criminal pia.

'"LIFE THREATS "
niliumia kwa kiwango kila nikikumbuka hili shtaka naishiwa mpk nguvu ya Co parenting.

Nasema kila mmoja alee tu wanae itakqvyofaa.
Umeonaaa πŸ˜„ wakati wa kesi ya ndoa inakuwa ni vita +chuki
Mimi aliniwinda sana anitengeneze criminal kumbeee ahh mipango yake aliyokuwa anafikiria kitambo nlikuwa najuwa
Nlikuwa mbele ya muda ,alafu mm syo mjingaaa
Nlimpiga KO moja tu hakuwa na hamu tena
Mpaka akaomba kumaliza nje ya mahakama...yaani itengenezwe deed of settlement
Kwa sababu nliona alikuja vibaya na mm nkaja vibaya aggressive mara 100000 yake
Walati ule kesi tena pale mahakama ya kinondoni nlikuwa nawamudu watu ahhh nlimnyoosha mapema sana

Ova
 
Sasa broo πŸ˜…unaonaje miaka 4 baadae ukiniozesha Huyu wa 14maana atakuwa na miaka 18 Mimi ndo nitakuwa 39 years kamili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…