Fanton Mahal
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 1,597
- 4,661
- Thread starter
- #501
Ahahahah..sio wote, ila wengiAisee pole sana, akina sisi tutakua kuni siku ya mwisho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahah..sio wote, ila wengiAisee pole sana, akina sisi tutakua kuni siku ya mwisho.
Umenishtua hapo kwenye roho nzuri 😅😅😅😅Naelewa, nilikua nawazingua wadau tu.
Mimi najua wanaume mna roho nzuri sanaa.
Shauri la talaka ili lisikilizwe mahakamani lazima liwe na mambo yafuatayo.Baada ya kusoma hii comment , sasa ndio nimeelewa point ya msingi ya brother mrangi , aisee usemacho ni kweli. Ni vile tu huu uzi sijataka kueleza kila kitu lakini jayo uliosema yamenipata na ndio wife kwa kushirikiana na polisi wakanitia lockup.
YF alinifungulia mashtaka yafuataya sambamba na hili:
- kesi ya shambulio (criminal)
- namtishia uhai wake kuwa nataka kumuua (life threat) na akatumia loophole hii kubeba watoto na kuhamisha vitu ndani baada ya mimi kutowa ndani
- kesi ya kimtandao kwamba natiashia kusambaza kwenye mitandao picha zake nilizofuma kwenye simu yake.
Haya yoote yalichukuliwa hatua sema kama ifuatavyo
- kesi ya shambulio (yaan nilipompiga baada ya kulita picha halaf akanijibu shit) hii ndio iliniweka lockup
- kusambaza picha - simu yangu ikachukuliwa na kupekuliwa na watu wao japo hapa nikawachukulia poa sana maana walizitafuta kwenye simu na hawakuziona licha ya kwamba niezificha (kitaalam) humo humo. Haba degree ya CS ilinisaidia 😅, baada ya kuzikosa wakashindwa kufungua shauri nikawa cleared
- kumtishia maisha, hii iliambatanishwa na shambulio, hivyo nilivyotolewa lockupnkwa dhamana, kesi hawakupeleka mahamakan kwakua ilikosa kabisaaa mashiko. Walini release baada ya kuchoka ku report nikaweka presha wapeleke keai mahakaman. Wakaniacha, kesho yale ndio walafungua kesi ya talaka.
Kila mmoja ataenda kwa wakati wake.Tena hapa umenikumbusha kitu, hivi baada ya siku 45 hukumu inachukuliwa na wote au inachukuliwa na mdai pekee??
Hakuna furaha ya dhati kwa watoto Kama kuwaona wazazi wao walkways wamoja, hata Kama hawana kitu!Umeona sasa? Mnaenda kumfanya huyo binti aone mahusiano ya ndoa ya hovyo..!!
Mkeo itakuwa amekurupuka kudai talaka ila atajutia na itamtesa sana baadae..!!
Mkuu km kuna uwezekano wa kuahirisha maamuzi fanya hivyo kwa mustakabali wa watoto wenu..!! Mkishindwa sana gawaneni vyumba mlee mtoto.
Unajua kinachoenda kutokea? Wewe utaanzisha familia na mwanamke mwingine, na mkeo nae ataanzisha familia na mwanaume mwingine..!!
Hapo mtawaweka katikati watoto wenu, wakiwa kwa baba wanakuta mama mwingine na watoto wake, wakiwa kwa mama wanakuta baba mwingine na watoto wake..!!! Hao watoto watakuwa na huzuni miaka yote.. 😥
Naona unampa ujuzi kaka angu. Mkiwa mnaongea huko pm au whatsApp utamfundisha vitu vingi zaidi na atapona haraka sana.Kila mmoja ataenda kwa wakati wake.
Haina hata haraka, we kapige zako hela chimbo huko.
Mwenye shida na talaka ataifuata.
Mahakama ipo tu utaenda hata miaka 19 ijayo.
Recordings zimeshaandikwa.
On a serious note...haka kakipindi katakupeleka resi kiaina ila what doesnt kill us makes us stronger. Kaa mbali na sketi kwanza maana ni rahisi kuangukia chaka bovu tena. Kama utaweza jijenge upya kuanzia kiroho mpaka kimwili, kama kuji-rejuvinate flani hivi. Just know HILI NALO LITAPITA. Tumejifunza kwako budda, Mungu amrehemu huyo dada.Ahahahah..sio wote, ila wengi
Ahqhhahahahhahahahhaahhahaahahaha ujue we sio mzima.Naona unampa ujuzi kaka angu. Mkiwa mnaongea huko pm au whatsApp utamfundisha vitu vingi zaidi na atapona haraka sana.
😅Baba ni baba kaka angu! Ila yote kwa yote nimekukubali sana umenifunza kituAhahahahahahah...sasa hiyo miaka 4 yeye akiwa na 18 na mimi nitakua na hiyo hiyo miala 39 sasa hapo tutakua wakwe au washkaji??? 😂
Nimemwambia akae mbali na sketi kabisa.On a serious note...haka kakipindi katakupeleka resi kiaina ila what doesnt kill us makes us stronger. Kaa mbali na sketi kwanza maana ni rahisi kuangukia chaka bovu tena. Kama utaweza jijenge upya kuanzia kiroho mpaka kimwili, kama kuji-rejuvinate flani hivi. Just know HILI NALO LITAPITA. Tumejifunza kwako budda, Mungu amrehemu huyo dada.
Hakika mkuu, hiki ndio nimeamua kukiamini kwasasa wakat nafikir nini cha kufanya. Kitu pekee nachofanya ni kuwaombea tuHatma ya watoto wao imeshaingia dosari, japo wanaweza kufanya vizuri kabisa na wakafikia ndoto zao kwani Mungu anafanya yaliyowashinda wanadamu!
Nimekuelewa mkuu. Ahsante sanaOn a serious note...haka kakipindi katakupeleka resi kiaina ila what doesnt kill us makes us stronger. Kaa mbali na sketi kwanza maana ni rahisi kuangukia chaka bovu tena. Kama utaweza jijenge upya kuanzia kiroho mpaka kimwili, kama kuji-rejuvinate flani hivi. Just know HILI NALO LITAPITA. Tumejifunza kwako budda, Mungu amrehemu huyo dada.
Very very true. Kuna namna nilikua nimeandaa kisasi juu ya huyu mtu ila nikaghairi baada ya kufikiri kwa kinaNimemwambia akae mbali na sketi kabisa.
Asijifanye umwamba
Ehehehehher talaka ina relapse kama drugs.
Maaaanina!!
Ghafla tuu hasira zinakupanda, ehehehe watu huchukulia poa wanataka waonekane wamemove on haraka, weeeeh.
Atulize kengele
Kunawakat Haina budi kusema aende maana inakuwa Haina maana ya mke tenaJamaa Yangu Mmoja na yeye yalimkuta haya, same scenario, Unaambiwa Mwanamke alilia balaaa hakuamini ndio ndoa imevunjika. Jamaa anasema baada ya hapo akampa lift kumrudisha kwao, kufika maeneo ya External Jamaa gari yake ikagongwa but walikua safe.
Hadi Leo unaambiwa mwanamke analalamika kuwa hajui SABABU gani ilimpelekea kumshurutisha Jamaa Hadi ndoa ikavunjika. Jamaa ameoa na ana watoto na maisha yakaendelea.
Sasa na hapa ndipo pamekua pakinichanganya zaidi, yan inakuaje mama yao hayaoni wala hayafikirii haya masuala?????
Umeona sasa? Mnaenda kumfanya huyo binti aone mahusiano ya ndoa ya hovyo..!!
Mkeo itakuwa amekurupuka kudai talaka ila atajutia na itamtesa sana baadae..!!
Mkuu km kuna uwezekano wa kuahirisha maamuzi fanya hivyo kwa mustakabali wa watoto wenu..!! Mkishindwa sana gawaneni vyumba mlee mtoto.
Unajua kinachoenda kutokea? Wewe utaanzisha familia na mwanamke mwingine, na mkeo nae ataanzisha familia na mwanaume mwingine..!!
Hapo mtawaweka katikati watoto wenu, wakiwa kwa baba wanakuta mama mwingine na watoto wake, wakiwa kwa mama wanakuta baba mwingine na watoto wake..!!! Hao watoto watakuwa na huzuni miaka yote.. 😥
Unajidanganya ni hasira tu, bora mwanamke anaweza kuwa hivyo sio mwanaume..!!HOnestly sina mpango huo mkuu. Na hii ni kwaajili yao hapo badae. Maana najua mama yao yeye plan yake ni kuishi na mtu sasa mimi siwez tena hizo habar zitakua zinamalizwa juu kwa juu.
Hapo ni watoto ndo watateseka..!!Hakuna furaha ya dhati kwa watoto Kama kuwaona wazazi wao walkways wamoja, hata Kama hawana kitu!
Ikishindikana kama hii ya mtoa mada, basi kuwa na uhakika hakuna namna itawafurahisha watoto wao, lawama zote zinaenda kwa mwanamke, ameamua kuwa mpumbavu kwa mambo yake ya hovyo hovyo (ikiwa msimuliaji amesema kweli)
Hatma ya watoto wao imeshaingia dosari, japo wanaweza kufanya vizuri kabisa na wakafikia ndoto zao kwani Mungu anafanya yaliyowashinda wanadamu!