Hatimae hukumu imetoka tayari, siku ya kwanza tu ya kesi kusikilizwa

Very very true. Kuna namna nilikua nimeandaa kisasi juu ya huyu mtu ila nikaghairi baada ya kufikiri kwa kina

Very very true. Kuna namna nilikua nimeandaa kisasi juu ya huyu mtu ila nikaghairi baada ya kufikiri kwa kina
Achana kabisa na hayo mawazo.

Apart from everything, WATOTO WAKO WANAMWITA MAMA huyo unayetaka kumfanyia kisasi.
Na HAWATAKUSAMEHE iwapo mama yao atapata baya wewe ukiwa sababu and the vice versa.

VITA ZA HIVI TUNAITA NOTHING TO SCORE.

Achana nazo.
Wewe pigana vita zako.
Una safari ndefu sana after this, hata uchungu juu ya hii talaka haujakukolea vya kutosha.

Goma linakujaga vuuup, unavurugwaaaaa!!
So issue tu ya jana hapa, hii ngom badooo.
Litakutikisaaa cha kutosha.
Sasa unahitaji hiyo nguvu unayotaka kuitumia kwa jambo ambalo qala halina faida.

hifadhi nguvu zako Kuwa bora zaidi ya jana.

Af ishi maisha positive.
Utaona vile hicho kisasi ulitaka kumpa ni adhabu ndogo sana ulimpangia.

Kuna makosa unafanyiwa kwenye maisha, adhabu pekee unaweza kutoa ni MSAMAHA.
 
Tulizaa tena kabinti, na alipojifungua alikuja kukaleta...aliporudi kwake,usiku mtoto akilia sana ananipiga simu nikamsaidie kumbembeleza nae alale kidogo anachoka
Duh ukala makombo na ukoko kabisa na sahani ukalamba bila kujali ukoko uliungua.🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
So sad. Lakini wewe ni shujaa. Wewe ni mshindi. MUNGU atakupa amani ya kweli. Hawa wadudu mashetani waitwao wanawake wanatunyima amani halisi.
 
Wewe shujaa mwingine wa kike.
 
Unajifulia nguo, unanyoosha pasi mwenyewe. Mostly unapika mwenyewe, huyo mwanamke ana umuhimu gani kama sio golikipa
 
Pengine umeamua mwenyewe kufanya hizo kazi kumsaidia siyo vibaya lakini siyo golikipa.
Unashinda kazini unakuta nguo ulizoloweka na sabuni zifuliwe bado chafu kwenye beseni, kuliko kugombana unajifulia. Anajua unawahi kazini unaamka asubuhi ndio kwanza anakoroma unanyoosha chap tunakimbia. Unarudi una njaa ndiyo kwanza anaangalia TikTok, unaingia jikoni maisha yanasonga.
Huyo wala hata sifa ya ugolikipa hana ila ni zezeta. Lakini mkipishana kidogo utasikia tugawane. Hii sio story ni hali halisi ya ndoa fulani.
 
Kwa kweli huyo ni zezeta. Pole sana. Ulimtoa wapi?
 
Wanawake waharibifu sana.
 
Usimshauri hivyo. Uking'ang'ana na mke asiyekupenda iko siku watoto hao hao watakuaga baba yao kwenye jeneza. Mama amefanya yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…