Kuna maisha fulani nimeyapitia ila haya yako ni mazito zaidi. Kuna muda unatamani ufanye kitu fulani ili umkomoe lakini ukweli kwamba kisasi ni juu ya Mungu.Very very true. Kuna namna nilikua nimeandaa kisasi juu ya huyu mtu ila nikaghairi baada ya kufikiri kwa kina
Wanawake ni wauaji kaka, matatizo anayopitia huyu jamaa ni mazito. Kama kuna rafiki au ndugu wa karibu anapaswa atembee na dumu la maziwa la lita 5 in case mtu akaamua kubugia sumu ya panya basi aokolewe immediately.Wewe umeona yeye kahuzunika π nilikua nam-cheer tu mkuu asikae kinyonge
Kabisaa kaka. Acha niendelee kua mpole.Kuna maisha fulani nimeyapitia ila haya yako ni mazito zaidi. Kuna muda unatamani ufanye kitu fulani ili umkomoe lakini ukweli kwamba kisasi ni juu ya Mungu.
Wakati wa Mungu yeye mwenyewe atajibu kwa ukali na kishindo.
Ahahahah..kwakwel, ujue kuna time ilifika, nikaona hapa hapana ,najiongopea, nisije ingia kwenye tabia hatarishi, nikaamua kurudi kwa baba na mama, nyumban kabisaaa. Na honestly, hii ikanisaidia sana. Maana nyumbani, asubuh asubuh, nagongewa mlango kuamshwa na mama, nakumbushwa kunywa chai, chakula cha mchana na usiku kwa wakati, nina dada angu tukiyefuatana yeye ndio kila mara yuko around me kunipigisha story za hapa na pale yote tu ili nisiwe alone na mwenye mawazo.Wanawake ni wauaji kaka, matatizo anayopitia huyu jamaa ni mazito. Kama kuna rafiki au ndugu wa karibu anapaswa atembee na dumu la maziwa la lita 5 in case mtu akaamua kubugia sumu ya panya basi aokolewe immediately.
Hasira hasaraWanawake ni wauaji kaka, matatizo anayopitia huyu jamaa ni mazito. Kama kuna rafiki au ndugu wa karibu anapaswa atembee na dumu la maziwa la lita 5 in case mtu akaamua kubugia sumu ya panya basi aokolewe immediately.
Pole sana mkuu, wewe sio mdau mpira au vita? Tafuta playstaion 3 au 4 kutokana na mfuko wako ulivyo, hii kitu inaondoa sana stress na inasaidia muda kusonga mbele. Ukiwa ni mpenzi wa games basi nitakusaidia hapa Lists ya game ambazo utapoteza muda. Au ikiwa una computer yenye specs nzuri basi tukutajie sites unazoweza download hizo game.Ahahahah..kwakwel, ujue kuna time ilifika, nikaona hapa hapana ,najiongopea, nisije ingia kwenye tabia hatarishi, nikaamua kurudi kwa baba na mama, nyumban kabisaaa. Na honestly, hii ikanisaidia sana. Maana nyumbani, asubuh asubuh, nagongewa mlango kuamshwa na mama, nakumbushwa kunywa chai, chakula cha mchana na usiku kwa wakati, nina dada angu tukiyefuatana yeye ndio kila mara yuko around me kunipigisha story za hapa na pale yote tu ili nisiwe alone na mwenye mawazo.
YAn kifupi, nikawa naona kama shida yangu na wao inawasumbua sana, na hii ndio sababu nikaona hapana, i need to get strong ,nisiwalemee hawa watu, plus ile care wanayonipa, vilinjijenga sanaa.
Pale nyumban mama angu ana duka,nikasema acha nijipe kazi kwa muda, ikawa ndio kazi yangu kufungua ,kuuza na kufunga, so ile kuhudumia wateja mbali pia vikanisaidia ku recover kwa kasi
Hembu nitajie.. nnakalikizo hapa nataka nipoteze muda kidogoPole sana mkuu, wewe sio mdau mpira au vita? Tafuta playstaion 3 au 4 kutokana na mfuko wako ulivyo, hii kitu inaondoa sana stress na inasaidia muda kusonga mbele. Ukiwa ni mpenzi wa games basi nitakusaidia hapa Lists ya game ambazo utapoteza muda. Au ikiwa una computer yenye specs nzuri basi tukutajie sites unazoweza download hizo game.
Inamaanisha akiweza jivisha na kujilisha mwenyewe? Kama jibu ni ndiyo uko SahihiMwanamke akiwa na uhakika wa kula, kuvaa, kulala, watoto wa kutosha. Hawezi tena kuthamini ndoa.
Ulipokuwa nayo mbali haikupakuliwa hata kidogo mkuu.Makombo tena!!!? Pini ilikua yangu itakuwaje makombo tena
I know this is a difficult time, but I just want to remind you that sometimes, love means letting go. Just like in that Whitney Houston song, βI wish you joy and happiness.β Though things didnβt work out as planned, you deserve peace, healing, and a fresh start. Wishing you strength as you move forward, and may this next chapter bring you nothing but happiness.Tuko pamoja mkuu. Nawashukuru woote kwa ushauri na mchango wa mawazo , kwa sehemu yalinisaidia sanaa
Thank you very muchI know this is a difficult time, but I just want to remind you that sometimes, love means letting go. Just like in that Whitney Houston song, βI wish you joy and happiness.β Though things didnβt work out as planned, you deserve peace, healing, and a fresh start. Wishing you strength as you move forward, and may this next chapter bring you nothing but happiness.
Dah!kwa mara ya kwanza machozi yamenibubujika.Ahahahah..kwakwel, ujue kuna time ilifika, nikaona hapa hapana ,najiongopea, nisije ingia kwenye tabia hatarishi, nikaamua kurudi kwa baba na mama, nyumban kabisaaa. Na honestly, hii ikanisaidia sana. Maana nyumbani, asubuh asubuh, nagongewa mlango kuamshwa na mama, nakumbushwa kunywa chai, chakula cha mchana na usiku kwa wakati, nina dada angu tukiyefuatana yeye ndio kila mara yuko around me kunipigisha story za hapa na pale yote tu ili nisiwe alone na mwenye mawazo.
YAn kifupi, nikawa naona kama shida yangu na wao inawasumbua sana, na hii ndio sababu nikaona hapana, i need to get strong ,nisiwalemee hawa watu, plus ile care wanayonipa, vilinjijenga sanaa.
Pale nyumban mama angu ana duka,nikasema acha nijipe kazi kwa muda, ikawa ndio kazi yangu kufungua ,kuuza na kufunga, so ile kuhudumia wateja mbali pia vikanisaidia ku recover kwa kasi
Mkuu acha kabisa . Ni noma. Aliyenitia kwenye msongo huu yeye yuko zake huko ana enjoy.π .Dah!kwa mara ya kwanza machozi yamenibubujika.
Kwamba nani hajatendewa haki ?Kuna msimamo mmoja wa kisheria ulitolewa kwenye moja ya kesi maarufu unasema ''sio tu haki itendeke, bali ionekane ikitendeka'' sasa kwenye kesi ya jamaa hayo hayajafanyika, kama siku moja Hakimu Mfawidhi akikutana na hilo jalada na uhakika atalifanyia marejeo
Yah yaani akiweza tu kujilisha, kujivisha na kulala, akawa na watoto. Hapo tena mwanamme una kazi ya ziada sana.Inamaanisha akiweza jivisha na kujilisha mwenyewe? Kama jibu ni ndiyo uko Sahihi
Sasa wewe ni mpenzi wa nini?Hembu nitajie.. nnakalikizo hapa nataka nipoteze muda kidogo
Mlichukua mkopo kabla?Hujazungumzia kuhusu mkopo mliochukua mahakamani?
Aisee huyo mtu hata kuongea nae ni dhambiMkuu acha kabisa . Ni noma. Aliyenitia kwenye msongo huu yeye yuko zake huko ana enjoy.π .
Ujue ndio maana nikaja gundua watu wanafanyaga maamuzi magumu sana juu ya watesi wao, pale mahakamani wakati nasubiri kesi yangu kuitwa ,nikakutana na jamaa watatu, nao wana kesi za ndoa, sasa katika story za hapa na pale, mshkaji mmoja aliposikia suala langu alipaniki akanambia "bro, kuna watu ukiwala 2million tu, huyo mtu wako wanamfyekelea mbali hutakaa umuone tena"
Dahh nikashtuka sana. Wakuu,nikagundua kuwa kuna watu hawawez kukuruhusu uwachezee kupita kiwango..
Si kutu cha kufurahia but in the end wao ndio huwa wana regret it all. Why wanafanya maamuz based on emotionUncle wangu aligawana mali na wife wake baada ya takaka, Wife akachukua nyumba na gari Escudo.
Kwa kuwa hiyo nyumba wife aliyopewa ilikuwa kwenye fence moja na nyumba nyingine aliyobaki nayo mume, wife akamuuzia mume ile nyumba ya mgao wake.
Wife akaenda kuishi na hawara wake ambaye mume aliwafumania kwenye banda la kuku.
Baada ya mwaka tuu wife kamaliza ile pesa ya kuuza nyumba, akauza ile gari, baada ya pesa kuisha hawara akamfukuza, sasa hivi wife anauza mitumba mnadani kachoka hatare. Mume yeye alioa mke mwingine na wamezaa watoto 2.
Usishangae kaka, wapo watu hizo ni kazi zao hapa mjini and they are good at it. But revenge ya nini? Let it go, why ujae magareza sababu ya mtu ambae umekutana nae ukubwani?Mkuu acha kabisa . Ni noma. Aliyenitia kwenye msongo huu yeye yuko zake huko ana enjoy.π .
Ujue ndio maana nikaja gundua watu wanafanyaga maamuzi magumu sana juu ya watesi wao, pale mahakamani wakati nasubiri kesi yangu kuitwa ,nikakutana na jamaa watatu, nao wana kesi za ndoa, sasa katika story za hapa na pale, mshkaji mmoja aliposikia suala langu alipaniki akanambia "bro, kuna watu ukiwala 2million tu, huyo mtu wako wanamfyekelea mbali hutakaa umuone tena"
Dahh nikashtuka sana. Wakuu,nikagundua kuwa kuna watu hawawez kukuruhusu uwachezee kupita kiwango.