Ahahahah..kwakwel, ujue kuna time ilifika, nikaona hapa hapana ,najiongopea, nisije ingia kwenye tabia hatarishi, nikaamua kurudi kwa baba na mama, nyumban kabisaaa. Na honestly, hii ikanisaidia sana. Maana nyumbani, asubuh asubuh, nagongewa mlango kuamshwa na mama, nakumbushwa kunywa chai, chakula cha mchana na usiku kwa wakati, nina dada angu tukiyefuatana yeye ndio kila mara yuko around me kunipigisha story za hapa na pale yote tu ili nisiwe alone na mwenye mawazo.
YAn kifupi, nikawa naona kama shida yangu na wao inawasumbua sana, na hii ndio sababu nikaona hapana, i need to get strong ,nisiwalemee hawa watu, plus ile care wanayonipa, vilinjijenga sanaa.
Pale nyumban mama angu ana duka,nikasema acha nijipe kazi kwa muda, ikawa ndio kazi yangu kufungua ,kuuza na kufunga, so ile kuhudumia wateja mbali pia vikanisaidia ku recover kwa kasi