Hatimae hukumu imetoka tayari, siku ya kwanza tu ya kesi kusikilizwa

Very very true. Kuna namna nilikua nimeandaa kisasi juu ya huyu mtu ila nikaghairi baada ya kufikiri kwa kina
Kuna maisha fulani nimeyapitia ila haya yako ni mazito zaidi. Kuna muda unatamani ufanye kitu fulani ili umkomoe lakini ukweli kwamba kisasi ni juu ya Mungu.

Wakati wa Mungu yeye mwenyewe atajibu kwa ukali na kishindo.
 
Kabisaa kaka. Acha niendelee kua mpole.
 
Wanawake ni wauaji kaka, matatizo anayopitia huyu jamaa ni mazito. Kama kuna rafiki au ndugu wa karibu anapaswa atembee na dumu la maziwa la lita 5 in case mtu akaamua kubugia sumu ya panya basi aokolewe immediately.
Ahahahah..kwakwel, ujue kuna time ilifika, nikaona hapa hapana ,najiongopea, nisije ingia kwenye tabia hatarishi, nikaamua kurudi kwa baba na mama, nyumban kabisaaa. Na honestly, hii ikanisaidia sana. Maana nyumbani, asubuh asubuh, nagongewa mlango kuamshwa na mama, nakumbushwa kunywa chai, chakula cha mchana na usiku kwa wakati, nina dada angu tukiyefuatana yeye ndio kila mara yuko around me kunipigisha story za hapa na pale yote tu ili nisiwe alone na mwenye mawazo.
YAn kifupi, nikawa naona kama shida yangu na wao inawasumbua sana, na hii ndio sababu nikaona hapana, i need to get strong ,nisiwalemee hawa watu, plus ile care wanayonipa, vilinjijenga sanaa.

Pale nyumban mama angu ana duka,nikasema acha nijipe kazi kwa muda, ikawa ndio kazi yangu kufungua ,kuuza na kufunga, so ile kuhudumia wateja mbali pia vikanisaidia ku recover kwa kasi
 
Pole sana mkuu, wewe sio mdau mpira au vita? Tafuta playstaion 3 au 4 kutokana na mfuko wako ulivyo, hii kitu inaondoa sana stress na inasaidia muda kusonga mbele. Ukiwa ni mpenzi wa games basi nitakusaidia hapa Lists ya game ambazo utapoteza muda. Au ikiwa una computer yenye specs nzuri basi tukutajie sites unazoweza download hizo game.
 
Hembu nitajie.. nnakalikizo hapa nataka nipoteze muda kidogo
 
Tuko pamoja mkuu. Nawashukuru woote kwa ushauri na mchango wa mawazo , kwa sehemu yalinisaidia sanaa
I know this is a difficult time, but I just want to remind you that sometimes, love means letting go. Just like in that Whitney Houston song, ‘I wish you joy and happiness.’ Though things didn’t work out as planned, you deserve peace, healing, and a fresh start. Wishing you strength as you move forward, and may this next chapter bring you nothing but happiness.
 
Thank you very much
 
Ahahahah..kwakwel, ujue kuna time ilifika, nikaona hapa hapana ,najiongopea, nisije ingia kwenye tabia hatarishi, nikaamua kurudi kwa baba na mama, nyumban kabisaaa. Na honestly, hii ikanisaidia sana. Maana nyumbani, asubuh asubuh, nagongewa mlango kuamshwa na mama, nakumbushwa kunywa chai, chakula cha mchana na usiku kwa wakati, nina dada angu tukiyefuatana yeye ndio kila mara yuko around me kunipigisha story za hapa na pale yote tu ili nisiwe alone na mwenye mawazo.
YAn kifupi, nikawa naona kama shida yangu na wao inawasumbua sana, na hii ndio sababu nikaona hapana, i need to get strong ,nisiwalemee hawa watu, plus ile care wanayonipa, vilinjijenga sanaa.

Pale nyumban mama angu ana duka,nikasema acha nijipe kazi kwa muda, ikawa ndio kazi yangu kufungua ,kuuza na kufunga, so ile kuhudumia wateja mbali pia vikanisaidia ku recover kwa kasi
Dah!kwa mara ya kwanza machozi yamenibubujika.
 
Mkuu acha kabisa . Ni noma. Aliyenitia kwenye msongo huu yeye yuko zake huko ana enjoy.😅.
Ujue ndio maana nikaja gundua watu wanafanyaga maamuzi magumu sana juu ya watesi wao, pale mahakamani wakati nasubiri kesi yangu kuitwa ,nikakutana na jamaa watatu, nao wana kesi za ndoa, sasa katika story za hapa na pale, mshkaji mmoja aliposikia suala langu alipaniki akanambia "bro, kuna watu ukiwala 2million tu, huyo mtu wako wanamfyekelea mbali hutakaa umuone tena"

Dahh nikashtuka sana. Wakuu,nikagundua kuwa kuna watu hawawez kukuruhusu uwachezee kupita kiwango.
 
Kuna msimamo mmoja wa kisheria ulitolewa kwenye moja ya kesi maarufu unasema ''sio tu haki itendeke, bali ionekane ikitendeka'' sasa kwenye kesi ya jamaa hayo hayajafanyika, kama siku moja Hakimu Mfawidhi akikutana na hilo jalada na uhakika atalifanyia marejeo
Kwamba nani hajatendewa haki ?
 
Inamaanisha akiweza jivisha na kujilisha mwenyewe? Kama jibu ni ndiyo uko Sahihi
Yah yaani akiweza tu kujilisha, kujivisha na kulala, akawa na watoto. Hapo tena mwanamme una kazi ya ziada sana.
 
Mkuu acha kabisa . Ni noma. Aliyenitia kwenye msongo huu yeye yuko zake huko ana enjoy.😅.
Ujue ndio maana nikaja gundua watu wanafanyaga maamuzi magumu sana juu ya watesi wao, pale mahakamani wakati nasubiri kesi yangu kuitwa ,nikakutana na jamaa watatu, nao wana kesi za ndoa, sasa katika story za hapa na pale, mshkaji mmoja aliposikia suala langu alipaniki akanambia "bro, kuna watu ukiwala 2million tu, huyo mtu wako wanamfyekelea mbali hutakaa umuone tena"

Dahh nikashtuka sana. Wakuu,nikagundua kuwa kuna watu hawawez kukuruhusu uwachezee kupita kiwango..
Aisee huyo mtu hata kuongea nae ni dhambi
 
Uncle wangu aligawana mali na wife wake baada ya takaka, Wife akachukua nyumba na gari Escudo.

Kwa kuwa hiyo nyumba wife aliyopewa ilikuwa kwenye fence moja na nyumba nyingine aliyobaki nayo mume, wife akamuuzia mume ile nyumba ya mgao wake.

Wife akaenda kuishi na hawara wake ambaye mume aliwafumania kwenye banda la kuku.

Baada ya mwaka tuu wife kamaliza ile pesa ya kuuza nyumba, akauza ile gari, baada ya pesa kuisha hawara akamfukuza, sasa hivi wife anauza mitumba mnadani kachoka hatare. Mume yeye alioa mke mwingine na wamezaa watoto 2.
Si kutu cha kufurahia but in the end wao ndio huwa wana regret it all. Why wanafanya maamuz based on emotion
 
Mkuu acha kabisa . Ni noma. Aliyenitia kwenye msongo huu yeye yuko zake huko ana enjoy.😅.
Ujue ndio maana nikaja gundua watu wanafanyaga maamuzi magumu sana juu ya watesi wao, pale mahakamani wakati nasubiri kesi yangu kuitwa ,nikakutana na jamaa watatu, nao wana kesi za ndoa, sasa katika story za hapa na pale, mshkaji mmoja aliposikia suala langu alipaniki akanambia "bro, kuna watu ukiwala 2million tu, huyo mtu wako wanamfyekelea mbali hutakaa umuone tena"

Dahh nikashtuka sana. Wakuu,nikagundua kuwa kuna watu hawawez kukuruhusu uwachezee kupita kiwango.
Usishangae kaka, wapo watu hizo ni kazi zao hapa mjini and they are good at it. But revenge ya nini? Let it go, why ujae magareza sababu ya mtu ambae umekutana nae ukubwani?

Risk aint worth it. Utakapo let go ndipo milango mingine itafunguka
 
Back
Top Bottom