Hatimae hukumu imetoka tayari, siku ya kwanza tu ya kesi kusikilizwa

Kisa cha kutengana kabla ya kupeana talaka ilikua nini?
Kama vile ndoa inavyojengwa na mambo mengi, ndoa inavunjwa na mambo mengi pia.
Mke/Mume haondoki kwa kosa moja!
So visa ni vingi, vya muda mrefu, vilivyoachwa kuchukuliwa maamuzi sahihi kwa wakati au hazikuchukuliwa maamuzi kabisa.
Inafika muda akili inachoka!
Both mkikosa sababu za kuendelea kuwa pamoja hakuna sababu tena ya kubakia!
Na kimsingine mwingine anaweza asiondoke yeye, anaweza asitamke yeye kuwa hii ndoa imefika mwisho ila anaishi na mwenzi akiwa ameshatengana nae kimwili kihisia kiakili na kikila kitu.
So hakuna ndoa inavunjika mtu atakupa sababu moja, kwamba alifanya hivi nikaondoka! SIO kweli
 
πŸ’©πŸ’©πŸ’© sasa singo maza wewe utaenda wapi tumbo limejaa visu vya leba, kinena kimekomaa kwa kunyoa πŸ’© utaenda wapi kwapa nyeusi kwasababu ya kuficha chenchi za kununulia vitu sokoni πŸ’© unataka tu kujifariji useless...
Uzuri jibu lenu mmelipata weekend hii!
 
Yani wanawake wengine akili mgando umezalishwa watoto 4 nani akuchukue na zigo la watoto.
KAZI ni kipimo cha UTU
Mkuu atapata mtu sema huyo mtu hata toa huduma kwa watoto kwasababu huyo Mwanamke atakua anaogopa kumuomba matunzo ya watoto kwasababu anajua Mwanaume atakimbia, kwahiyo Maswala ya Huduma za watito wake atakua ana toa mwenyewe na kuomba kwa Mzazi mwenzake.
 
Yani wanawake wengine akili mgando umezalishwa watoto 4 nani akuchukue na zigo la watoto.
KAZI ni kipimo cha UTU
Mkuu atapata mtu sema huyo mtu hata toa huduma kwa watoto kwasababu huyo Mwanamke atakua anaogopa kumuomba matunzo ya watoto kwasababu anajua Mwanaume atakimbia, kwahiyo Maswala ya Huduma za watito wake atakua ana toa mwenyewe na kuomba kwa Mzazi mwenzake
Nikweli kwa Tamaduni za Afrika kikawaida Watoto wanakua na Mama wengi ila Baba anakua mmoja, lakini sikuhizi utakuta watoto watano wa Mama mmoja na wa Baba wapo watatu.
 
yes,
Mimi husema kama kile nilichokipigania miaka yote , nimeishi ,nimekua humo, nimetengeneza life legacy Kimepotea, kuna nn kingine kitauma kupoteza?

Hakuna aiseee! Viende tu basi hakuna kingine cha kugombea kibaki, hakuna hata moja.
Sasa rafiki, dah!
So umeweza kuishinda heartbreak? Nimesoma uzoefu wako hapo juu, vyote nadhani nitaweza ila watoto itakuwa ngumu sana..
 
Sasa rafiki, dah!
So umeweza kuishinda heartbreak? Nimesoma uzoefu wako hapo juu, vyote nadhani nitaweza ila watoto itakuwa ngumu sana..
Rafiki, ninawapenda watoto wangu sana. Ila sikuwa na namna ilinipasa kutengana nao kwa muda.
Nilipokuwa ninaelekea kulikuwa kubaya zaidia ya kutengana nao kwa muda.
1. I WAS SUICIDAL, WANGENIKOSA MAZIMA. sasa kipi bora waone kaburi au waone mlango ambao mama yao anaishi, niliwachagulia waone mlango ambao mama yao anaishi.
2. I WAS VENGEFUL, ningeweza kufanya chochote katika mtanziko ule wa kihisia, chochote pengine hata madhara kwao, ilinipasa kuwakimbia kwa muda kwa usalama wa kila mmoja.
3. I WAS ECONOMICALLY UNSTABLE, kuliko niwachukue nishindwe kuwapa huduma stahiki, ilikuwa lazima niptee kwa muda ili nirudi nikiwa ninajimudu, so i did it.
4. I WAS EMOTIONAL WEAK, ninaamini katika cutting generational traumas, sikutaka kabisa kuwalea au kuendelea kuwalea nikiwa that weak, ilikuwa lazima nijitenge nijiboreshe nikiwa sawa niweze kuwale bila kuwaambukiza maumivu yangu wala kuwatizama kama burden na sababu ya kubaki kwneye ndoa yenye maumivu.

HAVING GOING THROUGH ALL THOSE SELF projective facts, NILINYANYUA MIKONO JUU, NIKAMSHUKURU MUNGU NIKAWAACHA.
5 yrs now, Sijawahi kujutia uamuzi ule
Ninaweza kuwalea bila majeraha(Ninaishi na mmoja aliye under 18, the rest two mmoja yuko chuo, mwingine nilipoondoka alikuwa form six now anajitegemea),ninawatimizia mahitaji yao bila changamoto wala kuhitaji support iwapo isitokee kwa mhusika kulingana na maamuzi binafsi which im okey with, ninayatizama maisha very positively so ninayafurahia na ninasubiri uzee wenye baraka, nimefind life purposes so i love to live adn i celebrate it. I am economically and emotional stable now kila kitu nakitizama katika uhalisia bila self or personal blame.

NA HIKI NDICHO WAZAZI TUNAPASWA KUKIOMBA TULEE WATOTO WETU WITH THAT SAFETY!
mzazi mwenye character hiso nne hapo juu nilikuwa nazo, ni MORE THAN FATAL kwa malezi na makuzi ya mtoto.
Sikutaka my failures as a wife iendele kuathiri my motherhood!
So yes!
NI NGUMU NAKUELEWA, ila wakati fulani INATULAZIMU
 
Mmmhh!
 
Aisee ,pole sana.
 
Sina cha kuongezea mkuu.
Ujue nimekuja kugundua kwenye maisha huna haja ya kujiua kwasababu unapitia shida flan, maana kila unachopitia wewe sasa, kuna watu wameshapita huko kitambo, exactly the same au more morse than yours ,so kikubwa ni kufunguka ili usaidiwe. Utajiona mbona wewe yako madogo???
Mkuu hongera sana na big up japo nakuonea wivu wewe tayar una 5 yrs wakat mimi ndio naanza kuhesabu miezi πŸ˜‚πŸ˜‚.
Nitazoea tu na mimi
 
Sasa rafiki, dah!
So umeweza kuishinda heartbreak? Nimesoma uzoefu wako hapo juu, vyote nadhani nitaweza ila watoto itakuwa ngumu sana..
Yakitokea braza, wewe mwenyewe utaweza tu. Maana mimi kwa case yangu, sio tu kwamba nawapenda wanangu, ila na wao wananipenda sanaaaaa na mama yao anajua, kiasi kwamba mara ya kwanza aliponikatia RB akawa anaogopa mimi kutiwa ndani, akisema kwamba "naogopa hawa watoto wasije kuja kunichukia siku wakija kukua na wakajua".

Ila bro, nimeamua nikae kando, hata watoto nimeona acha tu nikubali kuwa nao mbali kwasasa
 
Ofcourse huwez kukosa mwanaume maadam wewe ni mwanamke..Sema ndio kama usemavyo utajikuta unatumia nguvu nyingi kumfanya akae maana he will be having an upper hand kwenye affair yenu. Na katika hatua hiyo ni obvious utakutana na mtu ambayr tatar ana commitment na affair zingine pia.
 
Uzuri jibu lenu mmelipata weekend hii!
Nothing personal that i mean but case ya Hamisa ni special one. Ile si ndoa ,ile ni michezo beyond ndoa. Ile ni game yenye interest zaid ya ndoa ,imebeba uchumi na vyeo vya watu, Yanga humo humo, Engineer humo humo.
 
Uzi una mafunzo buku kwa wanandoa. Mali kitu gani, hata akitaka 70-30 ni sawa tu. Tulitafuta na tutaendelea kutafuta.
Very true
Kwangu nadhani heartbreak kubwa kuliko zote ni kuwaacha watoto wangu. That'll break my heart to pieces.
absolutelly brother. Lakin hakuna namna, inabis iwe hivyo some times
 
umetumia hekima sana.. vitu vinatafutwa ....utapata vingine. mwache aende ..
Hakika mkuu. Haya ni maisha tu. Hayasimami hapa, kikubwa nilichoona ni is better losing the atuufs rather than losing myself in the process
 
yes,
Mimi husema kama kile nilichokipigania miaka yote , nimeishi ,nimekua humo, nimetengeneza life legacy Kimepotea, kuna nn kingine kitauma kupoteza?

Hakuna aiseee! Viende tu basi hakuna kingine cha kugombea kibaki, hakuna hata moja.
Inauma sana, unapimaaaaaa unaona maumivu ya kushikilia ni makubwa kuliko ya kuachilia vipoteee. Japo ukiwaza nguvu yote ya ujana unaiona ileee inakwemda na maji uanze upya, aisee maumivu yake sio madogo ila unaona sawa tu
 
Pole mzee

Kazi kwelikweli
 
Naomba kutuliza kama Mali uliandika Jina na mama mzazi vipi hapo mke atapata Hizo mali
 
Naomba kutuliza kama Mali uliandika Jina na mama mzazi vipi hapo mke atapata Hizo mali
Ni ngumu sana, mali kama haziko kwenye jina lako au lake wala la mtoto hapo ni ngumu kabisa..
Hiyo inaitwa Hakimi Style
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…