Hatimae hukumu imetoka tayari, siku ya kwanza tu ya kesi kusikilizwa

Da
h kwenye ego nilioa mnyarwanda mmoja mzee sio poa hawajui neno kuomba msamaha
 
Timu Kataa Ndoa wameta point tatu muhimu hapa
 
Ni bora kujivua gamba mapema. Watu wanaishi kwenye ndoa zenye maumivu na wengine wana pretend wako kwenye ndoa kumbe zilishakufa kitambo. Mimi nilitoka huko 2017, alichukua kila kitu mpaka ambavyo hakuchangia hata senti. Nilianza maisha mpya na Mungu amenirejeshea na kunipa zaidi ya vile.
Sijawahi kujutia maamuzi yale.
 

Sio kuahirisha, ni kukata rufaa. Halafu atakata rufaa kupinga nini wakati yeye ndio kaomba talaka? Pia ni vigumu sana kurudiana suala linapifikia hatua ya mahakamani na hukumu ikatoka.
 
Sio kuahirisha, ni kukata rufaa. Halafu atakata rufaa kupinga nini wakati yeye ndio kaomba talaka? Pia ni vigumu sana kurudiana suala linapifikia hatua ya mahakamani na hukumu ikatoka.
Kukata rufaa kwa ajili ya nini?
 
Watoto wangapi mkuu hadi ukasema hiyo 150k?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…