Hatimae hukumu imetoka tayari, siku ya kwanza tu ya kesi kusikilizwa

Hongera kwa kutua mzigo na pia pole!!! Naelewa Kuna hali flani moyoni maana kuivunja ndoa na kuwa mbali na familia sio jambo dogo.,...
Muhimu usirudi nyuma tena,,,, baada ya muda mfupi huyo mwanamke atarudi na silaha yake ya watoto anaujua udhaifu wako ni hapo. maana wewe unaonekana ni wale wanaume flani hivi very humble yaani halafu mstaarabu sana..... Siku za mbeleni usije ukaingia kwenye mitego yake ..
Usijikute una haraka ya kuingia kwenye mahusiano ya kudumu maana unaweza jikuta unaoga mapema sana hiyo itakuharibia kila kitu!!!! Kwa sasa piga hit n' run.
Nikutakie mwanzo mpya wa maisha yenye mafanikio,,, kumbuka furaha ni yako sasa furahia chochote ulichonacho.
Byeee.
 
Daah Leo umeonyesha uwanaume kamili nimefurahi kuona upo stable Kias hicho

Ayo yamemstaajabisha kwakuwa mategemeo yake yameenda tofauti
 
Pole sana aisee,kuna kitu kimenifumbua macho kwa sisi wenye ndoa, ila kwa sheria zetu naona kama wanawake wanapendelewa sana kama ni ivyo, nitamshauri mwanangu mkubwa wa kiume ambae ni barehe,azae tu nje kuoa aje kuoa baadae sana wakati kishajipata kimaisha, hawa viumbe ni hatari na wanadekezwa sana kumbe kwenye vyombo vya haki.


yaani mahakama inasajesti mgawanyo wa 50% kwa 50% wakati hata katika uislam haipo ivyo!!!?
 
Ahahaha njia iyo ndyo inaunafuu???
 
Nitafute bro nikuoneshe penye wako pisi kali zisizofuata mali..
 
Wakuu, kesi za kuvunjika ndoa ni nyingi sanaa nimekuatana nazo leo mahakamani. Hali sio nzuri kwenye hii taasisi ya kwanza kuanzishwa duniani
Jamaa Yangu Mmoja na yeye yalimkuta haya, same scenario, Unaambiwa Mwanamke alilia balaaa hakuamini ndio ndoa imevunjika. Jamaa anasema baada ya hapo akampa lift kumrudisha kwao, kufika maeneo ya External Jamaa gari yake ikagongwa but walikua safe.

Hadi Leo unaambiwa mwanamke analalamika kuwa hajui SABABU gani ilimpelekea kumshurutisha Jamaa Hadi ndoa ikavunjika. Jamaa ameoa na ana watoto na maisha yakaendelea.
 
Safi sana. Pia ungechukua ushauri wa jamaa yako yule ingependeza.
Mimi pia yalinikuta halafu ndugu wa mke wanamsapoti kishenzi.
Mara ya kwanza akaenda nikarudisha. Mara ya pili ameenda nimepiga kimya.
Mjinga amebeba na watoto wote 4. Sema sababu watoto ni wakubwa najikuna ada TU mengine atajua mwenyewe.
Nilikunywa pombe nusu nife alivyoondoka mara ya pili, nikaanguka nikapasua uchogo halafu Niko mwenyewe. Uzuri niliangukia kibarazani ila sababu ya mtungi sikujua niliangukaje. Ile siku ya sensa ile 2022.
Ninaishi na wapangaji pia so mdada mmoja akanispoti ndio kupiga kelele maana nilizima zaidi ya lisaa na madamu yamejaa kama ng'ombe amechinjwa.
Nimepelekwa KCMC bado nimezima, majirani ndugu wote walijua ndio natangulia hivyo. Kuingizwa kwnye MRI scanner pale fuvu halijapasuka.
Vipimo vingine, spine na kila kitu fresh.
Pigwa nyuzi nne pale sijui 5 sikumbuki.
Sasa hivi toka 2022 am free as a Wandering Jew .
Wanawake akili zao wanazijua wenyewe. Halafu wakizeeka Sasa from 60 kuendelea wengi sana wanajutia maamuzi waliyoyafanya from 28 hapo kundelea. Unavunjaje ndoa kwa maneno ya majiraniπŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ™Œ
Your browser is not able to display this video.
 

Attachments

  • 17370089130150.mp4
    94.2 KB
Mkuu,
Hongera, wewe ni mshindi. Pia umetoa funzo kubwa sana kwa pande zote. Hakuna kungangania mali, mpe akapambane nazo huko, hakuna mchepuko ataoa hiyo kazi, alifurahi kuupiga wakati mkiwa kwa ndoa, leo baada ya kuachana ladha itapotea. Hata huyo Me mwenzetu atajisikia vibaya kuwa chanzo cha talaka kwa mwenzake.

Sheria ni kandamizi, 50-50, matunzo yote juu ya baba, elimu yote juu ya baba, watoto chini ya mama. Its very unfair. Japo 150k ni kwa ajili ya watoto tu, asipofanya kazi haitoshi hata kidogo.
 
Hatua waliyopo ni ya mwisho it's too late
 
Hiyo sentens ya mwisho ajiandae sana maanacwataleta pressure si ya kitoto, ni suala. La muda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…