Swala la kwenda bush haliepukiki kwani shule zipo na zinahitaji walimu
cha muhimu ni atleast kutuboreshea mazingira na wa kufanya hayo ndo ha yupoha yupo
.wajua nini E.S nadhani umefika wakati wa kuanza kutazama soko la ajira kwa taaluma hii ya ualimu nje ya hii Tanganyika, manake naona hii nchi wanaifaidi watu sana wa afya na kilimo, hizi fani zingine dah unaweza ota sugu kusubiri hadi mwishowe ukasahau kwamba ushawahi pita elimu ya chuo..( ha ha ha ha ha aha hahahaaaaaaaaaaaaaaaa ngoja nicheke tena eti "ULIPAUKA" hapo tu afya yangu imeimarika kwa kicheko)
Habari za uhakika na kuaminika kutoka wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi, ni kuwa ajira za walimu zitakuwa hewani ndani ya wiki moja ijayo, ikiwa na maana kuwa tarehe 24/02/2014, kila kitu kitakuwa hewani, na itawapasa na kuwalazimu walimu wapya kuripoti katika vituo vyao vya kazi ndani ya wiki moja, 1/03/2014.
Nilipauka si utani, nkaenda jf doctor kuomba ushauri juu ya ngozi angu make ilikuwa kama gome la mti
scrub zimedunda, ngozi haisikii glycerin wala lotion yani miguu ilitengeneza contour acha tu
sahivi akuuuu nshazisahau shida nakula raha tu hapa manispaa
Kweli teacher ?source za habari ziko umezitoa wapi? acha kupost ufala wewe unawarusha watu kwakuandika ujinga wewe ni mbulura tu, ms....nge?
Habari za uhakika na kuaminika kutoka wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi, ni kuwa ajira za walimu zitakuwa hewani ndani ya wiki moja ijayo, ikiwa na maana kuwa tarehe 24/02/2014, kila kitu kitakuwa hewani, na itawapasa na kuwalazimu walimu wapya kuripoti katika vituo vyao vya kazi ndani ya wiki moja, 1/03/2014.
na iwe ivo AMEN
ikiwa ivyo itakuwa poa sana maana huku kitaa ni kugumu sana.