Hatimae mh. Jenista Mhagama anena kuhusu ajira za walimu wapya

Mbona jukwaa la jokes lipo...
kama una kajoke kako si ukapeleke kule?
 
et nae kapata ile habar ya Muhagama kule Iringa aliposema ajira 1st April af anakuja kutuletea illogical outdated news
 
wanamacho ila hawaoni wanamackio lkn hawackii...keep on posting dudes
 
kila kukicha mapya,,2medanganywa tar weee..sasa bora mkae kimya ck itafka yenyewe..wengne 2endelee 2 kuwa mabek3 huk hom
 
jiangalie kwenye boxer yako! mzima kweli, kama mzima kwa sasa bas utaila uko mlangon mwako!
 
Tembeleeni tovuti ya wizara ya elimu mara kwa mara
 
Nmetembea hadi nmechoka, ngija nichukue taksi ni wahi.
 
Walim matusi ya nini?
If you see some one is fool, let him/her be dont bother/ care.

Although we have fake names and avatar but we can not fake our heart (thoughts)
 
tusi unalodhan nikubwa kuliko yote we asume nimeshakutukana sababu ya huu u.s.h.u.z.i uliouandika hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…