kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
- Thread starter
- #41
Biko Mshiko..!
Mimi napenda SLOGAN zao tu.
Mengine yote nawaachia wao.
Mshiko nje nje hadi watu wanazimia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biko Mshiko..!
Mimi napenda SLOGAN zao tu.
Mengine yote nawaachia wao.
Dah!Aziweke kwenye fixed account, itapendeza kwelikweli!Ataziweka Bank alafu ataendelea kuzimia.
Dah!Aziweke kwenye fixed account, itapendeza kwelikweli!
Awe "Mmbagala" wa kwanza kufunguliwa fixed account!Mbagala na fixed account?
Ndiposa ikaja ambulance ikampeleka hospitalini na hadi sasa hajazinduka!Baadae alijishtukia akampa sim ndugu yake aongee na Kajala haf yeye akaendelea kuzimia
Ndiposa ikaja ambulance ikampeleka hospitalini na hadi sasa hajazinduka!
Teh teh teh teh!! 'Dairekta' wa muvi kazingua, tusubirie 'episodi' nyingine!
Umezimia kajibu ndio aliyezimia huwa kapoteza fahamu uwezo wa kujibu katoa wapi!!?
Baadae alijishtukia akampa sim ndugu yake aongee na Kajala haf yeye akaendelea kuzimia
Walimtengeneza.
Hii story inanikumbusha rafiki yangu alikuwa kanywa pombe sasa mwenziye mlevi akaomba lift kwenye pkpk yake anaporudi.
Njiani wakati wanarudi jamaa akajisahau kukata kona akaunga mbele pkpk ikavuka mtaro then ikavutuka tena kurudi nyumba yule abiria akaanguka ndani ya mtaro na kuumia.
Sasa jamaa yangu kamuuliza vipi umepona?. jamaa kamjibu nimezimia mimi, huku jamaa akichunguza pkpk yake naye akamjibu acha ungese wewe waliozimia wanaongea. Pombe noma.
Usiombee upate taarifa ya msiba umelewa utalia au kutoa vituko balaa.
![]()
sema kajala bwana