Hatimae mshindi wa BIKO azimia kwa mshtuko

Hatimae mshindi wa BIKO azimia kwa mshtuko

Hii story inanikumbusha rafiki yangu alikuwa kanywa pombe sasa mwenziye mlevi akaomba lift kwenye pkpk yake anaporudi.
Njiani wakati wanarudi jamaa akajisahau kukata kona akaunga mbele pkpk ikavuka mtaro then ikavutuka tena kurudi nyumba yule abiria akaanguka ndani ya mtaro na kuumia.
Sasa jamaa yangu kamuuliza vipi umepona?. jamaa kamjibu nimezimia mimi, huku jamaa akichunguza pkpk yake naye akamjibu acha ungese wewe waliozimia wanaongea. Pombe noma.
Usiombee upate taarifa ya msiba umelewa utalia au kutoa vituko balaa.

Ha haa
 
Kajala: et umezimia
Mshindi: ndio nimezimia
Kajala: sahizi unajisikiaje
Mshindi: najisikia vizuri.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
D.D D.D.D.D.D.D
 
maxresdefault.jpg

sema kajala bwana
 
Back
Top Bottom