Hatimae ndoa ya Shilole na Rommy3D yavunjika rasmi

M
Ku

Kuna jamaa alisema"ndoa Gani mnaambiwa mkitaka kuachana muachane Kwa Amani,"
Jamaa analalamika sana kupitia comment Yako mkuu bado nitazidi kuzichunguza ndoa za dini hii.

Maana ya kuachana kwa amani kusiwepo na madhara kati yenu,,je ni ndoa ngapi za kikristo watu wamechokana lkn hawaachani na mwisho wa siku ni mauaji, ni wangapi wanaumizana na kupeana vilema kisa hakuna kuachana mpaka kufa?

Ni wangapi wamegawana vyumba lkn nje wanaonekana wanandoa lkn kiuhalisia wameachana,je mnamdanganya nani?

Kwanini msiachane na kila mtu aoe tena na kufurahia maisha

Ndio maana waislamu tunaachana kwa wema pasina madhara na kulea watoto wetu kwa amani kabisa

Na faida nyingine mkiachana kwa wema hata huko mbeleni mnaweza kurejeana na kufunga ndoa tena kwakuwa mliachana kwa wema
 
Tushangazi twenye miili midogo huwa tutamu sana kuna hako ka moja mkuu nilishakuwako aisee adi nikawa najiuliza kwa haka ka ustaarabu anakooneka nako nikimpa mic aperform ataweza kweli 🤩🤩 mzee ile tik tak nyingi mtu kazamisha hand down kaanza kufanya yake mara naona mtu huyo downstairs mara kaanza kuperform mkuu we acha tu🤗🤗
 
Ndoa za mastaa wa bongo ni public stunts. Ukielewa hili halitokusumbua
 
ه
هداك الله
 
Shilole aache tabia ya kutafuta ving'asti.

Atafute mwanaume aliyemzidi kipato aolewe.
Mkuu shida sio kuzidiwa kipato.
Shida ni mwanamke kutambua nafaso yake katika jamii ikoje pasi na kujalisha.
Ila tatizo hii mijanamke yetu ya TZ asilimia kubwa wakishashika fedha hata kidocho mzee kazi unayo.
Kwani shishi ana pesa gani bro!?
Pesa za kawaida sana ila ndio hivyo.
 
Wanaona raha gani unaolewa umeishi na mtu tu miaka kadhaa usiku na mchana ..
Kesho mwingine, na kesho kutwa mwingine miaka miaka tu

Anyway ajitumie atakavyo na tuvitoto vyake , ila ipo siku vtamuaibisha,

yaani ujinga mtupu ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…