David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,894
- 6,020
Hilo ni kweli kabisa umewahi kusikia mikoa ya kusini mtu amefungwa kisa ametembea na mwanafunzi au amempa mimba mwanafunzi? Jibu ni hapana.Nasikia mikoa ya kusini Lindi na Mtwara wasichana wanaanza ngono wakiwa na miaka 13 ( wanakuwa na mahusiano na watu wazima kabisa) na wazazi wana kuhusu?
Naomba ulifanyie utafiti na hilo mkuu
UongoNasikia mikoa ya kusini Lindi na Mtwara wasichana wanaanza ngono wakiwa na miaka 13 ( wanakuwa na mahusiano na watu wazima kabisa) na wazazi wana kuhusu?
Naomba ulifanyie utafiti na hilo mkuu
Mwambie mtoto akishatoka jandoni (mvulana) au unyagoni (binti), huyo ni mtu mzima.
Nyinyi Ni waongo sanaMwambie mtoto akishatoka jandoni (mvulana) au unyagoni (binti), huyo ni mtu mzima.
Hivyo, suala la yeye kujihusisha na mapenzi ni kitu cha kawaida, tena unaweza kuwa unamhitaji binti flani ukaamua kuongea na mama yake bila hata binti kuwepo, mama akiridhia ukamwachia dagaa wa kula mchana, ujue jioni lazima binti ajilete mwenyewe kwako.
Cc Bongotunacheza
Labda Kwa MtwaraIla Mtwara mjini sidhani hapo lind hata mjini hapajulikani vizuri ... Nillifuatilia Mtwara haswa ishu za kielimu hapa town tangu niwe na mpango wa kuhamiq 2020 mpaka sasa naona wanaufaulu mzuri yaani madogo wanasoma.
Natoka alfajiri huku jua linawahi kuchomoza ,Kumi na moja baada ya sala bodaboda wapo kibao ...Tena wanawake ndio wanaenda kweny shughuli zao
.Kiufupi wanapambana sana....Ila maduka wanafungua saa 2 ...shughuli nyingine haswa shamba mapema .
Leta ukweli.Nyinyi Ni waongo sana
Mwambie mtoto akishatoka jandoni (mvulana) au unyagoni (binti), huyo ni mtu mzima.
Hivyo, suala la yeye kujihusisha na mapenzi ni kitu cha kawaida, tena unaweza kuwa unamhitaji binti flani ukaamua kuongea na mama yake bila hata binti kuwepo, mama akiridhia ukamwachia dagaa wa kula mchana, ujue jioni lazima binti ajilete mwenyewe kwako.
Cc Bongotunacheza
Hilo ni ukweli mtupu, kila familia inahusudu uchawi na ushirikina.Unafiki na majungu wanapenda Sana na kuamini uchawi nalo fanyia kazi nimekaa lindi na mtwara kwa Muda nimeliona.
Duh hatari sana na huyo msichana anakuwa ni mwanafunzi? Wazazi wana ruhusu?Mwambie mtoto akishatoka jandoni (mvulana) au unyagoni (binti), huyo ni mtu mzima.
Hivyo, suala la yeye kujihusisha na mapenzi ni kitu cha kawaida, tena unaweza kuwa unamhitaji binti flani ukaamua kuongea na mama yake bila hata binti kuwepo, mama akiridhia ukamwachia dagaa wa kula mchana, ujue jioni lazima binti ajilete mwenyewe kwako.
Cc Bongotunacheza
Nitakuongezea taarifa ukihitaji msaada wa hilo.Hapo kwenye uchawi lazima nipachimbe mkuu
Ila nyie watu mmezidi sasa.. unaweza kuniambia Ni sehemu gani Tanzania hii unaweza kuishi bila kuwepo watu wanafki na wenye majungu.. And by the way watu wanaweza wakawa wanafki kwako nankukupiga majungu kutokana na wewe lifestyle yako, na hiyo Ni karibia kila mahali sio Mtwara na Lindi tuUnafiki na majungu wanapenda Sana na kuamini uchawi nalo fanyia kazi nimekaa lindi na mtwara kwa Muda nimeliona.
Hakuna ukweli wowote kwenye Hilo mkuu.. waulize Ni wilaya gani aliwahi kushuhudia, usikute na yeye alisimuliwa tu kama anavyosimulia hapaDuh hatari sana na huyo msichana anakuwa ni mwanafunzi? Wazazi wana ruhusu?
Uongo
MkUu hapo big No..ebu Rudi shule kwanza kasome takwimu naujue ukuaji wakiuchumi maeneo hayo kwasasaMi nachojua ndo wanaongozs kwa umaskini na wana iq ndogo kupita kanda zote
Sio kutembelea Mimi Ni mzaliwa WA kule kabisa karibu wilaya zote nimetembea na kuishi .. Labda Wewe uniambie hayo mliyoyaona wilaya gani, likizo na Mimi niende nikajionee Kwa macho tenaUmetembea Lindi wilaya zipi?