Hatimae nimeamua kuandika kitabu kuhusu mtindo wa maisha ya watu wa mikoa ya Kusini mwa Tanzania

Nasikia mikoa ya kusini Lindi na Mtwara wasichana wanaanza ngono wakiwa na miaka 13 ( wanakuwa na mahusiano na watu wazima kabisa) na wazazi wana kuhusu?

Naomba ulifanyie utafiti na hilo mkuu
Hilo ni kweli kabisa umewahi kusikia mikoa ya kusini mtu amefungwa kisa ametembea na mwanafunzi au amempa mimba mwanafunzi? Jibu ni hapana.

Ukifumwa na mwanafunzi unamalizana kibingwa na familia. Kusini watu poa sana Wala hawana mawahaaa
 
Mwambie mtoto akishatoka jandoni (mvulana) au unyagoni (binti), huyo ni mtu mzima.

Hivyo, suala la yeye kujihusisha na mapenzi ni kitu cha kawaida, tena unaweza kuwa unamhitaji binti flani ukaamua kuongea na mama yake bila hata binti kuwepo, mama akiridhia ukamwachia dagaa wa kula mchana, ujue jioni lazima binti ajilete mwenyewe kwako.

Cc Bongotunacheza
 
Nyinyi Ni waongo sana
 
Ila Mtwara mjini sidhani hapo lind hata mjini hapajulikani vizuri ... Nillifuatilia Mtwara haswa ishu za kielimu hapa town tangu niwe na mpango wa kuhamiq 2020 mpaka sasa naona wanaufaulu mzuri yaani madogo wanasoma.

Natoka alfajiri huku jua linawahi kuchomoza ,Kumi na moja baada ya sala bodaboda wapo kibao ...Tena wanawake ndio wanaenda kweny shughuli zao
.Kiufupi wanapambana sana....Ila maduka wanafungua saa 2 ...shughuli nyingine haswa shamba mapema .
Labda Kwa Mtwara
 
Duh hii kiboko
Mwambie mtoto akishatoka jandoni (mvulana) au unyagoni (binti), huyo ni mtu mzima.

Hivyo, suala la yeye kujihusisha na mapenzi ni kitu cha kawaida, tena unaweza kuwa unamhitaji binti flani ukaamua kuongea na mama yake bila hata binti kuwepo, mama akiridhia ukamwachia dagaa wa kula mchana, ujue jioni lazima binti ajilete mwenyewe kwako.

Cc Bongotunacheza
 
Unafiki na majungu wanapenda Sana na kuamini uchawi nalo fanyia kazi nimekaa lindi na mtwara kwa Muda nimeliona.
Hilo ni ukweli mtupu, kila familia inahusudu uchawi na ushirikina.
Ingawa anaweza tokea mtu mmoja mmoja ndani ya ukoo ambaye anaweza jitenga kidogo na mambo ya jadi, lakini tunasema kwa makadirio ya juu kuwa karibu wote ni mwendo wa vilinge, haijalishi ni mtu wa swala tano au mfuasi wa nabii na mtume.
 
Mwambie mtoto akishatoka jandoni (mvulana) au unyagoni (binti), huyo ni mtu mzima.

Hivyo, suala la yeye kujihusisha na mapenzi ni kitu cha kawaida, tena unaweza kuwa unamhitaji binti flani ukaamua kuongea na mama yake bila hata binti kuwepo, mama akiridhia ukamwachia dagaa wa kula mchana, ujue jioni lazima binti ajilete mwenyewe kwako.

Cc Bongotunacheza
Duh hatari sana na huyo msichana anakuwa ni mwanafunzi? Wazazi wana ruhusu?
 
Unafiki na majungu wanapenda Sana na kuamini uchawi nalo fanyia kazi nimekaa lindi na mtwara kwa Muda nimeliona.
Ila nyie watu mmezidi sasa.. unaweza kuniambia Ni sehemu gani Tanzania hii unaweza kuishi bila kuwepo watu wanafki na wenye majungu.. And by the way watu wanaweza wakawa wanafki kwako nankukupiga majungu kutokana na wewe lifestyle yako, na hiyo Ni karibia kila mahali sio Mtwara na Lindi tu
 
Back
Top Bottom