David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,894
- 6,020
Hilo ni kweli kabisa umewahi kusikia mikoa ya kusini mtu amefungwa kisa ametembea na mwanafunzi au amempa mimba mwanafunzi? Jibu ni hapana.Nasikia mikoa ya kusini Lindi na Mtwara wasichana wanaanza ngono wakiwa na miaka 13 ( wanakuwa na mahusiano na watu wazima kabisa) na wazazi wana kuhusu?
Naomba ulifanyie utafiti na hilo mkuu
Ukifumwa na mwanafunzi unamalizana kibingwa na familia. Kusini watu poa sana Wala hawana mawahaaa