Hatimae nimeamua kuandika kitabu kuhusu mtindo wa maisha ya watu wa mikoa ya Kusini mwa Tanzania

Wakuu baada ya kupiga kambi Mtwara na Newala nimevutiwa sana na ustaarabu, uungwana na ukarimu wa watu wa kusini mwa Tanzania.

Sasa ninaandika kitabu kuhusu maisha ya watu wa kusini mwa Tanzania. Kitabu kitagusa nyanja zote kuanzia utamaduni hadi shughuli za kiuchumi ikiwa ni pamoja na fursa zote unazoweza kuzipata katika kila wilaya iliyopo katika mikoa ya kusini.

Now naanza kuweka miundombinu ya kuanza utafiti wangu.

Kama kuna jambo unataka nilifanyie utafiti kuhusu maisha ya watu wa kusini tafadhali weka kwenye komenti hapo chini.
Jambo la maana sana.

Usiwe serious sana kwenye kitabu utuoneshe na "lighter side" yao, yaani vituko vyao. Maana kwetu watu wa kusini huko tunawaona ni watu wa vituko tu.
 
Sio kutembelea Mimi Ni mzaliwa WA kule kabisa karibu wilaya zote nimetembea na kuishi .. Labda Wewe uniambie hayo mliyoyaona wilaya gani, likizo na Mimi niende nikajionee Kwa macho
Nenda wilaya Ya Liwale-Lindi karibu vijiji vyote kuanzia ngongowele, mpiga miti n.k
Namoja ya tatizo ni Elimu(kujaa kwashule za msingi Zaid ya Sec.) na Ushirikina
Kwenye mahasiano, Wazazi ndio usupport karibu gharama zote
 
Mimi hapa mtu wa kusini japo nimezaliwa Dar na kukulia na nimeeenda Mara moja kipindi Niko darasa la pili nikahamia uhamisho wa muda kwa miezi 7 kisha nikarudi Dar mpaka Leo sijawahi kwenda tena nasikilizia mwaka mmoja niende kusalimia InshaAllah ..

Wewe kweli mtu wa Kusini, umetaja sifa mojawapo hapo... Ni wagumu sana kutembelea kwao wakifika mjini.. wakifika mjini wanalowea huku😂😂😂
 
Nenda wilaya Ya Liwale-Lindi karibu vijiji vyote kuanzia ngongowele, mpiga miti n.k
Namoja ya tatizo ni Elimu(kujaa kwashule za msingi Zaid ya Sec.) na Ushirikina
Kwenye mahasiano, Wazazi ndio usupport karibu gharama zote
So wazazi husapoti mahusiano ya binti zao na wanaume watu wazima? Mabinti wanakuwa primary au sekondari?
 
Wazazi wengi hawasapoti Elimu, husapoti mahusiano hata ya umri ndogo unakuta Binti mdogo wakiume pia umri mdogo wengine ushiriki ndoa na watu wazima,
Itoshe kusema jamaa zangu waache uvivu pia ardhi Yao ni kubwa miti yakutisha na imebarikiwa sana

Wakiacha uvivu,Ushirikina,Elimu duni hata watu wa Masasi na wengineo kama Sukama gang hawatovamia ardhi yao
 
Sijawahi kushuhudia hayo mnayosema ya watoto WA miaka 13, 14 kutembea na watu wazima tena na wazazi wakichangia kuwaunganisha.. Nadhani wengi mna Ile nadharia Kwamba watoto wakishatoka jandoni au unyagoni basi wanaandaliwa kuwa wahuni na vitu kama hivyo,, Ni big No na ninakataa... Kwanza mngejua hata hayo ambayo tunafundishwa huko unyagoni asilimia chache Sana Ni kuhusiana na mapenzi Ila the rest Ni lifestyle tu ya mtoto WA kike unatakiwa uishi vipi na watu wanaokuzunguka, vitu kama heshima, adabu , nidhamu, jinsi ya kuhandle familia pale utakapoingia ndoani,, japo sijajua wanaume Hua wanafundishwa Nini... Ila hii dhana ya watu wa kusini hasa mtwara na Lindi Ni wahuni nakataa na ninakupinga kwasababu nimeishi na ninayajua vizuri maisha ya huko, watu tumesoma mpaka tumemaliza na tuko makazini, vijana wanafanya biashara na Ni wapambanaji haswa.. labda uniambie Wewe Ni wilaya gani na Mimi nirudi nikafanye research
Naomba nikuambie tu ukweli, usije dhani tuna nia ovu kusema jamii x ina tamaduni flani flani ambazo ni mbaya ukadhani jamii zingine hazina mambo ya hovyo.

1. Kwa mikoa ya kusini, watoto wanasoma shule vizuri tu kama wengine wa mikoa mingine ingawa wanaofaulu kuendelea mbele ni kundi dogo, hili halina ubishi.

2. Mtoto akishatoka jandoni/unyagoni huwa yuko huru kiasi flani na ana maamzi ndani ya familia, kama ni binti baba hauna maamzi makubwa juu yake ingawa mama/wajomba wanaweza amua jambo lolote juu ya binti husika.

3. Suala la ngono ni kitu cha msingi kwa mabinti wengi tena wazazi wanabariki hilo na kama mhusika utakuwa unawapa ofa ndogo ndogo utakuwa unaitwa "baba" kabisa kutoka kwa wazazi wa yule binti.
Utasikia baba kesho uwahi kutusaidia kupuliza mikorosho, hapo huwa inafikia hatua baadhi wanakukabidhi chumba unaishi na binti yao kwao na huku huyo binti akiwa anaendelea na masomo.
N:B Hali hii haiwahusu mabinti wote ni baadhi miongoni mwao.

4. Ushirikina, uchawi na mambo yote ya kimila ni jambo jumuishi kwa familia KARIBU zote bila kujalisha ni familia za swala tano au wafuasi wa Gwajima.

Angalizo, kuna wateule wachache mno wameamua kujitenga na mila.

5. Ndoa, ni kitu kisichothaminiwa kwa kupewa heshima yake sitahiki.
a) Mfano, ukimshika ugoni mwanandoa, huwa unalipishwa fedha kiasi flani na maisha yakaendelea
b) Wanawake wengi hawadumu kwenye ndoa, ukichukua kundi la wanawake 20 wenye umri wa miaka 30, wanawake zaidi ya 13 wameshaachika na kuolewa pengine zaidi ya mara moja.
c) Asilimia kubwa ya wanaume, wana watoto wa nje ya ndoa

Hayo machache niliyoyaongea ni kweli tupu hususani maeneo yote ya vijijini kwa mikoa ya Mtwara na Lindi.

Leejay49 naomba uje na data za kukanusha hayo machache niliyoyaandika hapo juu.
 
Basi sawa Umeshinda
 
Back
Top Bottom