ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 21,002
- 77,708
Leo kuna harusi ya mmoja aliacha anaoaBado yuko heal's time, hatujui sasa.
Deo alimaliza UDSM
Leo kuna harusi ya mmoja aliacha anaoaBado yuko heal's time, hatujui sasa.
Deo yupii?? Kwani kuoa ndo kuacha ushoga? Wapo walio oa na wana familia though hawaachi bado.Leo kuna harusi ya mmoja aliacha anaoa
Deo alimaliza UDSM
Huyo aliokoka akawa anakuja kanisani kuombewa ilikua 2018 kwa maelezo yake hataki tena kapata mchumba leo ndoa.Deo yupii?? Kwani kuoa ndo kuacha ushoga? Wapo walio oa na wana familia though hawaachi bado.
Vizuri sana. Vipi maendeleo yako sasa hivi, bado una maintain kuwa Straight?Siamini ninachokiona wana JamiiForums, Mungu amenisaidia na hili tatizo sasa hivi najiona ni mwanaume kamili toka mbarikiwe wote mlionisaidia kwa mawazo yenu. Siri ya mafanikio ni sala pamoja na mazoezi.
Nilipata manzi mmoja hapa nilimshenyenta mpaka mm nikajishangaa.
Kwa ambao wanapitia hali niliyokuwa nayo mnataka kubadilika you can do it just let it go and forget it anza upya set your mind kama umezaliwa upya leo pia jitambue kama Mungu amekuumba ni mwanaume jua kuna sababu ya kukuumba hivo wake up.
Na mpamgo wa kubadilia jina la JamiiForums natamani nisingezaliwa to Nafurahia Ukuu wa Mungu.
Oooh kumbe, simfahamu huyo, nweii Hongera yake sana.Huyo aliokoka akawa anakuja kanisani kuombewa ilikua 2018 kwa maelezo yake hataki tena kapata mchumba leo ndoa.
Deo alimaliza course ya law Udsm kama sio 2018 basi 19 ni mrwanda