Hatimae nimekuwa mwanaume kamili, nimeachana na ushoga

Hatimae nimekuwa mwanaume kamili, nimeachana na ushoga

Ila Waja huwa sijui mnawaza nn? Hizo fikra za kusema shoga hawezi kutomber, au ku relate na mwanamke mnazitoa wapi?

Shoga (msenge) anaweza kuwa na mwanamke, anaweza kuzalisha, na kuwa baba wa familia kabisa, ikiwa sio khanithi na hana matatizo ya uzazi. Ni maamuzi tyuuh.

Sijui niseme nn, ila ushoga hauachwi kwa kufuata matakwa ya mtu, muhusika mwenyewe aamue kutoka ndani ya nafsi yake na dhamira ikubali hivyo inawezekana.

Afu kumbe eti ni miezi 7 ndo hajakutana na mwanaume, anasema kaacha, etii eeh, ngoja niweke .
😂😂😂😂😂
Ukisha kuwa shoga
sifa ya kuwa baba wa familia automatically inapotea
 
Duh Mungu ni mwema hatimae umotoka kwenye kifungo Cha ibilisi. Mkabidhi Yesu maisha Yako nae atayafanya kuwa mapya kabisa
Yesu yupi, huyu waumini wake wanaobariki ndoa za jinsia Moja huko Makanisani au?
 
Hsya mabazazi watakufata hukohuko pm wakurudishe kulekule chooni
 
Kizibo cha soda kikiweza kurudi kwenye chupa ya na kufungua tena kwa opener hapo ntakuamini mkuu ila kwasasa Washendaze!🤣
 
Back
Top Bottom