Good 👍. Comment iko underrated sana hii. Hapa jf tunao pia. Halafu hapa tz tunachukulia mwanaume anayefanywa ndiye tatizo. Hata wewe unayefanya wenzako ni shoga vilevile hamna tofauti na huyu. Nyie ndo mnachukua magonjwa na kuwapelekea wake/wanawake zenu. I despise njemba za namna hii hata kuliko wanaofanywa. Tafiti kupitia hawa jamaa zinaonesha familia nyingi zimekuwa kwenye ring ya ushoga bila kujijua. Too many families ni victims wa ushoga na hawajijui 😭😭😭.
Wewe kaka Mungu akusaidie. Ila jaribu kuwa karibu na Mungu kuliko kufanya majaribio ya uanaume wako maana bado ni dhambi. Huwezi kuchanganya hivyo vitu viwili. Simaanishi wasio mashoga hawafanyi zinaa but may be tafuta mwanamke mmoja utulie naye, bado ni dhambi ila kidogo kwenye jamii kunakukubalika fulani hivi. But kama unaweza, celibate, huyo ni option nzuri zaidi kwako kwa sasa ukiwa unamtafuta Mungu na kuutukuza ukuu wake.
Usifadhaishwe na wanaokuita huna marinda, kwani wao hawanyi? Hakuna kinachoitwa bikra ya mk*ndu ni mitazamo tu ya watu. Unaweza kuwa umelegea, but over time misuli itajirudi vizuri tu kama mwanzo. Pia hakuna dhambi kubwa kuliko nyingine, wanaokusem wana michepuko nje, au wanazini, wewe na wao kwa Mungu mko sawa tu katika dhambi. Be blessed 🙌