Hatimae nimekuwa mwanaume kamili, nimeachana na ushoga

Hatimae nimekuwa mwanaume kamili, nimeachana na ushoga

Kuna njia nyingi sana za kutangaza biashara......hii yako ni ya mwenye elimu ya darasa la tano C!
 
Dahhh! Umepitia magumu sana kwahiyo ulikuwa unambong'olea dume mwenzako Hadi anakojoa
 
Ushoga sio kilema ni tabia( tabia chafu) mtu akiamua kuacha anaacha, sio kama wwngi wanavyotaka kuaminisha watu kuwa wanazaliwa hivyo si kweli
Hakuna anaezaliwa shoga, ila kunae wanao zaliwa na hormonal imbalance, ndo wanaangukia huko, ndo husema wamezaliwa hivyo, ila kumbe sio.
 
Ukiwa shoga huwezi kuja kuwa mwanaume, tusitiane moyo kwenye pasipowezekana.
 
Back
Top Bottom