Hatimae nimekuwa mwanaume kamili, nimeachana na ushoga

Hatimae nimekuwa mwanaume kamili, nimeachana na ushoga

Dunia ni nzito. Uliyemshenyenta ye ana maoni gani kuhusu hili?
 
Sasa hiyo sehemu ya kutolea samadi utairudishaje au ndio inakurahisishia ukifika kwenye sinki nikumwaga kimba km ngili na kutembea
 
Ulienda kupigwa bomba?

Ebana Bora umerudi mkuu mana tulikuwa tunakutafuta Sana.Kule ulipoenda ni kwa wale waliokimbia majukumu Yao ya uanaume.

Hongera Kwa kurudi kwenye GROUP kaka.
Pokea heshima yangu.🤜🤛
 
Siamini ninachokiona wana JamiiForums, Mungu amenisaidia na hili tatizo sasa hivi najiona ni mwanaume kamili toka mbarikiwe wote mlionisaidia kwa mawazo yenu. Siri ya mafanikio ni sala pamoja na mazoezi.

Nilipata manzi mmoja hapa nilimshenyenta mpaka mm nikajishangaa.

Kwa ambao wanapitia hali niliyokuwa nayo mnataka kubadilika you can do it just let it go and forget it anza upya set your mind kama umezaliwa upya leo pia jitambue kama Mungu amekuumba ni mwanaume jua kuna sababu ya kukuumba hivo wake up.

Na mpamgo wa kubadilia jina la JamiiForums natamani nisingezaliwa to Nafurahia Ukuu wa Mungu.
Boyfriend wako ameridhia uamuzi wako?
 
Mm nimeshatoka huko mkuu nimeshasamehe ila jua wapo wengi sana zaidi ya sana
Huwezi kutoka hukonhuku bado wafiraji wapo na unawaona na wanakuona. Hivyo no rai yangu uwataje.

Kama ni wa mtaani kwako chapisha majina yao usambaze kwenye nguzo za tanesco pamoja na picha zao (unazo kwenye cm).
Watangaze tu kama watu hatari kwenye jamii.
 
Back
Top Bottom