Hatimae nimekuwa mwanaume kamili, nimeachana na ushoga

Hatimae nimekuwa mwanaume kamili, nimeachana na ushoga

Duh Mungu ni mwema hatimae umotoka kwenye kifungo Cha ibilisi. Mkabidhi Yesu maisha Yako nae atayafanya kuwa mapya kabisa
Unajitoaje kwenye kifungo cha ibilisi kwa kutokea m toto wa watu as practice ya kwanza wewe sio *****, hiyo si dhambi pia manage huyo uliefanyia practice sio mkeo, au inaruhusuwa kuclear dhambi moja kwa kufanya dhambi nyingine, yan ujitoe kwenye kuliwa tuzi, alafu wewe ndio ule tuzi ya mwanamke wa watu na uje ushuudie ukuu wa Mungu?..
 
Siamini ninachokiona wana jamii forums mungu amenisaidia na hili tatizo sasa hivi najiona ni mwanaume kamili toka mbarikiwe wote mlionisaidia kwa mawazo yenu. Siri ya mafanikio ni sala pamoja na mazoezi. Nilipata manzi mmja hapa nilimshenyenta mpaka mm nikajishangaa nikajishangaaa. Kwa ambao wanapitia hali niliyokuwa nayo mnataka kubadilika you can do it just let it go and forget it anza upya set your mind kama umezaliwa upya leo pia jitambue kama mungu amekuumba ni mwanaume jua kuna sababu ya kukuumba hivo wake up. Na mpamgo wa kubadilia jina la jamii forums natamani nisingezaliwa to nafurahia ukuu wa mungu.
MUNGU amekuvusha..ni ushindi mkubwa Duniani na Mbinguni. MUNGU akuongoze usipoteee tena..akumulikiee mwanga kwenye njia zako mpya
 
Siamini ninachokiona wana jamii forums mungu amenisaidia na hili tatizo sasa hivi najiona ni mwanaume kamili toka mbarikiwe wote mlionisaidia kwa mawazo yenu. Siri ya mafanikio ni sala pamoja na mazoezi. Nilipata manzi mmja hapa nilimshenyenta mpaka mm nikajishangaa nikajishangaaa. Kwa ambao wanapitia hali niliyokuwa nayo mnataka kubadilika you can do it just let it go and forget it anza upya set your mind kama umezaliwa upya leo pia jitambue kama mungu amekuumba ni mwanaume jua kuna sababu ya kukuumba hivo wake up. Na mpamgo wa kubadilia jina la jamii forums natamani nisingezaliwa to nafurahia ukuu wa mungu.
Congrats my man, thats the way to go son. Keep it that way , usirudi nyuma
Cur off vishawish vyote vilivyokuwa vinakurudisha nyuma by any means necessary
 
Haikua rahisi umepambana hongera
Mkumbuke na mungu wako Ili akuepushe na vishawish
 
Hongera sana kwa ushindi wako mkubwa dhidi ya kifungo ulichokuwa nacho.

Umeonesha ujasiri, nguvu ya ndani, na nia ya kweli ya kubadilika.

Hatua uliyochukua ni ya heshima na ni mfano mzuri kwa wengine hapa JF.

Nashauri ukiweza badirisha nambari yako ya Simu, marafiki uliokuwa una hangout nao, bila kusahau mabasha mliokuwa mkifanya nao huo ufuska.

Endelea kusonga mbele na kamwe usitamani kurudi Misri kwa maana Mungu muweza amekusaidia kuvishinda hivyo vita

Kila la heri Mkuu!
 
Hongera sana natumai na wengine wanaosoma huu uzi watapata matumaini.
Umenikumbusha mpambano wangu dhidi ya pombe, nilikuwa chapombe haswa, ila leo nina zaidi ya miaka kumi sijaonja na Sina hamu
 
Back
Top Bottom