Hatimae nimekuwa mwanaume kamili, nimeachana na ushoga

Hatimae nimekuwa mwanaume kamili, nimeachana na ushoga

Siamini ninachokiona wana jamii forums mungu amenisaidia na hili tatizo sasa hivi najiona ni mwanaume kamili toka mbarikiwe wote mlionisaidia kwa mawazo yenu. Siri ya mafanikio ni sala pamoja na mazoezi. Nilipata manzi mmja hapa nilimshenyenta mpaka mm nikajishangaa nikajishangaaa. Kwa ambao wanapitia hali niliyokuwa nayo mnataka kubadilika you can do it just let it go and forget it anza upya set your mind kama umezaliwa upya leo pia jitambue kama mungu amekuumba ni mwanaume jua kuna sababu ya kukuumba hivo wake up. Na mpamgo wa kubadilia jina la jamii forums natamani nisingezaliwa to nafurahia ukuu wa mungu.
Cc... Confession
 
Pole sana kijana.
Sasa Omba msamaha ( Toba) mbele ya Mungu.
Fanya sana ibada, fanya mazoezi na tafuta msichana ufunge ndoa.
Badirisha marafiki na ikibidi hamia sehemu nyingine.
 
Siamini ninachokiona wana JamiiForums, Mungu amenisaidia na hili tatizo sasa hivi najiona ni mwanaume kamili toka mbarikiwe wote mlionisaidia kwa mawazo yenu. Siri ya mafanikio ni sala pamoja na mazoezi.

Nilipata manzi mmoja hapa nilimshenyenta mpaka mm nikajishangaa.

Kwa ambao wanapitia hali niliyokuwa nayo mnataka kubadilika you can do it just let it go and forget it anza upya set your mind kama umezaliwa upya leo pia jitambue kama Mungu amekuumba ni mwanaume jua kuna sababu ya kukuumba hivo wake up.

Na mpamgo wa kubadilia jina la JamiiForums natamani nisingezaliwa to Nafurahia Ukuu wa Mungu.
Mademu wote wanaotaka kukujaribu kwakuwa walikuwa wanakujua kuwa ni shoga. Uta wala kiurahisi.

Umesikia raha tofauti sasa.
 
Siamini ninachokiona wana JamiiForums, Mungu amenisaidia na hili tatizo sasa hivi najiona ni mwanaume kamili toka mbarikiwe wote mlionisaidia kwa mawazo yenu. Siri ya mafanikio ni sala pamoja na mazoezi.

Nilipata manzi mmoja hapa nilimshenyenta mpaka mm nikajishangaa.

Kwa ambao wanapitia hali niliyokuwa nayo mnataka kubadilika you can do it just let it go and forget it anza upya set your mind kama umezaliwa upya leo pia jitambue kama Mungu amekuumba ni mwanaume jua kuna sababu ya kukuumba hivo wake up.

Na mpamgo wa kubadilia jina la JamiiForums natamani nisingezaliwa to Nafurahia Ukuu wa Mungu.
"Mabwana" zako wakikuona wanakwambia nini?
 
Hongera sana...

Jitahidi uoe na upate watoto uishi kwa kumpendeza Mungu.

Ndugu wanaharibu sana ndugu zao.

Pia kwa faida ya wengi ambao wana kumbana na hilo ungeweka ulifanya nini mpaka ukaachana kabsa nankupumuliwa.

Nakumbuka ulisema uliacha form 4 ila bado ukawa unatamani vidume...

Ukakamavu wa mshedede ukatumia nini? Mazoezi ukafanya yapi na imekuchukua muda gani....

Pole na hongera.
 
Meditation inafuta matatizo yote hayo kuanzia ushoga, uteja, laana, umasikini, umalaya nk.
Ishu huwa ni kuiprogram upya akili tu unaflash ya zamani unaweka akili mpya matakata yote ukimbia
 
Back
Top Bottom