Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 8,000
- 16,414
Hormonal imbalance hazimfanyi mtu kuwa homosexual. Ushoga ni tabia tu na inaanzia akilini, sio naturalHakuna anaezaliwa shoga, ila kunae wanao zaliwa na hormonal imbalance, ndo wanaangukia huko, ndo husema wamezaliwa hivyo, ila kumbe sio.
Hormonal imbalance kwa mwanaume (eg estrogen levels zikiwa high) zinaweza kusababisha matiti kuwa makubwa (gynecomastia), sauti kuwa nyororo, baadhi hips huongezeka ukubwa, erectile dysfunction nk. Kamwe haisababishi mtu kuwa shoga, hiko ni kisingizio tu cha mashoga wengi ili waendelee kufanya huo ufuska